Je,msanii wa Tanzania ni mfano mzuri wa kuigwa

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,039
Reaction score
1,256
Habari wanaJF,inajulikana kuwa msanii ni kioo cha jamii,na tunaamini jamii ni rahisi kumuiga msanii au mtu flani ambaye ni maarufu,tujadiri kidogo kuhusu wasanii wa hapa ndani ya nchi yetu kama Diamond na wengineo wanaong'ara kwa sasa je ni mfano mzuri wa kuigwa na jamii yetu..........!
 
we mleta maada umevurugwa,hv unaelewa maana ya kio cha jamii?!,embu kasome tena kazi kuu ya kioo ni ipi then urudi.eti inajulikana na kioo,hoja yako mfu kabisa kaka!
 
baadhi ni mfano wengne hapana. kwangu mimi najifunza mengi toka kwa fid q,mwanafa,salama jabir na nick wa pili. napenda maisha yao wanavyoishi,mawazo yao na yote yao mema
 
baadhi ni mfano wengne hapana. kwangu mimi najifunza mengi toka kwa fid q,mwanafa,salama jabir na nick wa pili. napenda maisha yao wanavyoishi,mawazo yao na yote yao mema


umenichefua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

wewe ni me au ke?

unajifunza mazuri au mabaya????

hebu rudi hapa useme zaidi!!
 
umenichefua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wewe ni me au ke?

Unajifunza mazuri au mabaya????
siwezi mridhsha kila mtu! Na neno langu wala sio sheria. Je salama hana jema hata moja ambalo mimi naweza jifunza? Respect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…