Mzee Pascal najuwa vile unajibu najuwa vile unajitahidi kuto kanyaga waya mwekundu ukakupiga shot, ila najuwa unajuwa makosa yapo wapi na unajuwa nini kinafanyika ila well muda nikipimo kizuri cha yote haya na nina furaha wenye akili kwa mara ya kwanza wanaanza kuona lile eneo kuna shida gani na jinsi ya ku fix now and 4ever.Tenganisha official na personal
P
No dogo namjua ni jembe kazi siku nyingi,Mzee Pascal najuwa vile unajibu najuwa vile unajitahidi kuto kanyaga waya mwekundu ukakupiga shot, ila najuwa unajuwa makosa yapo wapi na unajuwa nini kinafanyika ila well muda nikipimo kizuri cha yote haya na nina furaha wenye akili kwa mara ya kwanza wanaanza kuona lile eneo kuna shida gani na jinsi ya ku fix now and 4ever.
Binafsi nimekuelewa. Asante