Nawapa tips watu wa mshahara, hii ni gauge ya kujipima kama unafanya kazi au unafanywa kazi, nitatumia mifano hai, ambayo unaweza kurelate nayo kwa Tanzania. Ukiona inakukera ujue ushafeli.
1. Mshahara wako wa mwezi kama hauwezi kununua smart phone mpya ya flagship kwa mwaka husika. Mf. Pixel 9 pro xl, iphone 16 pro max. Kama take home yako imeshindwa hilo, ujue wewe ni bwege tu unasindikiza wenzio. Acha hiyo kazi kichaa.
2. Kama mshahara wako haukupeleki vacation au mapumziko kwa kutumia passport wewe na familia yako bila stress. usisumbue watu bar.
3. Kama machawa wanakuzidi safari na mali. Hiyo ni ishara kuna jambo haliko sahihi. Jitafakari.
4. Kama unategemea rushwa na wizi ili maisha yaende.
5. Kama huwezi kujenga nyumba ata ya ghorofa mpaka unastaafu, bila hekaheka au wizi.
6. Kama unaona ni anasa kwenda hoteli zenye hadhi.
7. Kama huwezi kumpeleka mzazi au mtoto au ndugu wa karibu nje kwa matibabu ata kama ni ya kawaida.
Mifano ipo mingi ila kama angalau kimoja tu hapo kinakugusa jua wewe ni juha kalulu tu unasindikiza wanadamu ulimwenguni kwao.