Wewe unafanya?kwanini usifanye biashara hata ya nguruwe tu kutoka kijijini na kuwapeleka Dar kila alhamisi, kila wiki unaondoka na na 3.5-4m, kwa kuwekeza below 1m tu?🐒
Unadhani nimeshuhidia kwa mtu tu 🤣Wewe unafanya?
Mbona chawa??unadhani nimeshuhidia kwa mtu tu 🤣
Ngoja tumuone Rais wa Tandale ndio anautaka huo utajiri namba mojaaiseee hii nchi ikija kutoa tajiri namba moja duniani tutaisoma namba...
Komaa na huo mshahara wa laki3 sasa, simu baada ya miaka 8 ndio ununue mpya 🤣Mbona chawa??
Laki saba mbona hela nyingi hiyoUzi umenichoma ila hakuna namna, acha tuendelee kupambana na mishahara yetu ya laki saba
Haujambo lakini! Chutama kidogo,umetukana asllimia 97 ya, watz!Nawapa tips watu wa mshahara, hii ni gauge ya kujipima kama unafanya kazi au unafanywa kazi, nitatumia mifano hai, ambayo unaweza kurelate nayo kwa Tanzania. Ukiona inakukera ujue ushafeli.
Mwenyewe kaamua kuwa chawa, kulamba miguu ya wanaume na wanawake wenzake. Anashauri wenzake wafuge Nguruwe.Wewe unafanya?
Ukikuwa utaacha ushoga kwahiyo wakuige ushoga wako shenzi kabisaNawapa tips watu wa mshahara, hii ni gauge ya kujipima kama unafanya kazi au unafanywa kazi, nitatumia mifano hai, ambayo unaweza kurelate nayo kwa Tanzania. Ukiona inakukera ujue ushafeli.
a angalau kimoja tu hapo kinakugusa jua wewe ni juha kalulu tu unasindikiza wanadamu ulimwenguni kwao.
Una umri gani kwanza ? Tuanzie hapo maana mkiwa University first year wengi mnakuwa na notion kama hizi.Nawapa tips watu wa mshahara, hii ni gauge ya kujipima kama unafanya kazi au unafanywa kazi, nitatumia mifano hai, ambayo unaweza kurelate nayo kwa Tanzania. Ukiona inakukera ujue ushafeli.
Unge anza ww kutuonyesha Payslip yako kisha tuende sawa badala yake ume weka mipasho tu kisha ume kimbilia kupakwa Didy OilNawapa tips watu wa mshahara, hii ni gauge ya kujipima kama unafanya kazi au unafanywa kazi, nitatumia mifano hai, ambayo unaweza kurelate nayo kwa Tanzania. Ukiona inakukera ujue ushafeli.
1. Mshahara wako wa mwezi kama hauwezi kununua smart phone mpya ya flagship kwa mwaka husika. Mf. Pixel 9 pro xl, iphone 16 pro max. Kama take home yako imeshindwa hilo, ujue wewe ni bwege tu unasindikiza wenzio. Acha hiyo kazi kichaa.
2. Kama mshahara wako haukupeleki vacation au mapumziko kwa kutumia passport wewe na familia yako bila stress. usisumbue watu bar.
3. Kama machawa wanakuzidi safari na mali. Hiyo ni ishara kuna jambo haliko sahihi. Jitafakari.
4. Kama unategemea rushwa na wizi ili maisha yaende.
5. Kama huwezi kujenga nyumba ata ya ghorofa mpaka unastaafu, bila hekaheka au wizi.
6. Kama unaona ni anasa kwenda hoteli zenye hadhi.
7. Kama huwezi kumpeleka mzazi au mtoto au ndugu wa karibu nje kwa matibabu ata kama ni ya kawaida.
Mifano ipo mingi ila kama angalau kimoja tu hapo kinakugusa jua wewe ni juha kalulu tu unasindikiza wanadamu ulimwenguni kwao.
Inauma eeh 🤣 endelea kusindikiza wanadamu. Wewe ni takataka tu.aUkikuwa utaacha ushoga kwahiyo wakuige ushoga wako shenzi kabisa