Je, mshahara wako unakidhi mahitaji yako vyema?

Una umri gani kwanza ? Tuanzie hapo maana mkiwa University first year wengi mnakuwa na notion kama hizi.
Nilishapita huko kitambo sana yani.
 
Unaweza kuwa unalipwa kidogo Ila ukawa na MAISHA mazuri na ya kisasa

Net salary inaweza kuwa kubwa Ila gross salary ikawa ndogo.
Kasome tena na tena yani. Hujajua bado tofauti ya net na gross. Yani net salary iwe kubwa zaidi ya gross? 🤣
 
Kasome tena na tena yani. Hujajua bado tofauti ya net na gross. Yani net salary iwe kubwa zaidi ya gross? 🤣


We sifikirii Kama umeelewa nilichoandika.

Mimi nililenga kuelezea kuhusu

Net profit na Gross profit

Unaweza Kuwa unalipwa hela nyingi au kipato Kikubwa Ila ukazidia maendeleo na MTU mwenye kipato kidogo.

Mfano unafikiri ukiwa unaishi paycheck to paycheck unaweza ukawa sawa na MTU ambaye anapata mshahara mdogo Ila haishi paycheck to paycheck.


.
 
Wanasemaga mshahara hautoshi hata ulipwe mil 10 kwa mwezi
 
Hakuna kitu unaandika. Unarukaruka tu. Umeandika salary. Sasahivi umegeuza profit sijui Nini. Embu tuliza akili. Au ndio mmedata na mishahara koko😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…