Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Li avatar lako tu linaonesha wewe ni mchawi.Wasifu na wajihi utakuja hapa soon.
Jamaa kauliza Mshana. Wewe umetoa prifile ya Mshana Jr . Inaonekana hujui maana ya hizo herufi Jr wewe.Li avatar lako tu linaonesha wewe ni mchawi.
View attachment 3022222
Mimi pia miaka ya nyuma nilikua ivyo ""fear of criticism"" principal of education.Ameamua kuwa msomaji kuliko kuandika
Kuna ID nyingine mara ya mwisho kuandika ni 2020 lakini kila siku yupo online
Mshana wako wengi, wewe utakuwa na ugomvi na Mshana JrLi avatar lako tu linaonesha wewe ni mchawi.
View attachment 3022222
Mimi pia miaka ya nyuma nilikua ivyo ""fear of criticism"" principal of education.
Kuna watu wao hu prefer kua wasikilizaji na wasomaji zaidi 😊
Usifanye ivyo bwana😊Nikifika hii level ya kusikiliza na kusoma zaidi kuliko kuandika nitacheza na settings za JF pia ....hakuna atakayeona kama niliingia humu 😃
Ametoweka nyumbani toka mwezi wa pili tumetoa taarifa polisi ya hapa Los Angeles atakaemuona atoe taarifa kwenye mamlaka husika. Asanteni.