Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Usifanye ivyo bwana😊
Sasa siandiki chochote tangu 2020 halafu last seen muone ni today at 5:29 AM ndio nini 😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifanye ivyo bwana😊
IliNikifika hii level ya kusikiliza na kusoma zaidi kuliko kuandika nitacheza na settings za JF pia ....hakuna atakayeona kama niliingia humu 😃
Hapo utashangaza wengi Sana unaweza SEMA Ni allien😊Sasa siandiki chochote tangu 2020 halafu last seen muone ni today at 5:29 AM ndio nini 😆
Yeah,kujizuia kucomment miaka minne sio mchezoHapo utashangaza wengi Sana unaweza SEMA Ni allien😊
Kuna mada ukisoma unajikuta direct unatamani ku Comment TU automatically
Atasema chochote baada ya majina ya wagombea kutangazwaIli mkiniulizia imake sense kwamba ni kweli siingii humu
Unaona Mshana Jr kauliziwa lakini kumbe yupo,hata leo asubuhi alikuwepo hapa 😃
Sio huyu jrWatu wana ID mbili mbili humu kujianziashia thread
Oohp!huko siasani mie mtupu mnoAtasema chochote baada ya majina ya wagombea kutangazwa
Tutakunoa kidogo kidogo utaanzia ubalozi wa nyumba 10Oohp!huko siasani mie mtupu mno
Huko hapanaTutakunoa kidogo kidogo utaanzia ubalozi wa nyumba 10
Mshana Jr vijana wana utani na wewe huku.Katoka mahabusu juzi mkuu maana alikamatwa kwenye sakata la dada poa pale Ubungo, Anasubiria mgao wa Billion 36 kutoka kwa DC anunue simu.