Je, msichana anaweza kupoteza usichana wake (bikra) bila kutokwa na damu?

siyo lazima, mimi sijawahi kuiona hiyo damu siku ya kwanza hadi leo hii.
na sijakulia kijijini, nimekulia makuzi ya kawaida tu. sina sababu ya kusema uongo ila kwa kuwa imenikuta nimeamini, ila kwa wanaume kuamini ni shida

Mh! Okay ila bado siamin eeh
 
Uuiiiihhhh.....eroo rafiki upo?

Karibu Tena Arusha...
 
Mbona watu wanabwabwaja Kama wageni vile,

Damu lazima itoke...kuna Kabila Fulani sikumbuki....enzi hizo bint akiolewa wanawekewa shuka jeupe then Kidume anakula mzigo ,

Damu isipotoka ni aibu kwa familia ya binti na mwishowe wanareject uhusiano...
 
Daah ! Mnanikumbusha nilivyong'atwa kwenye bega nikimtoa bikra madame Fulani hivi....
 
Watu tumeendesha sana baiskeli but kitu kilibaki intact inavyotakiwa . Hizo stories Mie nazionaga ni za kizushi tu
 
Ni kweli kabisa inawezekana...mm bikira yangu ilitolewa when o was 20years na sikutokwa na damu...tho nilisikia sana maumivu
 
Tatizo bikra zenyewe hamzijui mnasikia mastori tu!!
kuna bikra ya damu tupu
maumivu makali pekee
Na wengine hupata vyote! sasa wewe unasikia stori tu au ulibahatikaga kabikra kimoja basi umekalili
 
Bikra nikiwambo ngozi laini na nywmbamba inaweza kuchanika hata kwa baiskeli.ila mwanamke ambae hajawahi ingiliwa anajulikana.sio lazima utoke damu
 
siyo lazima, mimi sijawahi kuiona hiyo damu siku ya kwanza hadi leo hii.
na sijakulia kijijini, nimekulia makuzi ya kawaida tu. sina sababu ya kusema uongo ila kwa kuwa imenikuta nimeamini, ila kwa wanaume kuamini ni shida

Usijali we bado bikra
 
Wasichana wengi wanaitumia hii reson ya kutotokwa na damu kwa malengo yao binafsi ya kuwadanganya wanapendwa wao.. Lakini kiukweli mschana bikra ni lazima utamjua kama kweli ni bikra the way atavyoreact pindi mtakapofanya hilo tendo la mgegedo
 
siyo lazima, mimi sijawahi kuiona hiyo damu siku ya kwanza hadi leo hii.
na sijakulia kijijini, nimekulia makuzi ya kawaida tu. sina sababu ya kusema uongo ila kwa kuwa imenikuta nimeamini, ila kwa wanaume kuamini ni shida

So hilo jambo ni kweli girl anaweza fanya mapenzi kwa mara ya kwanza na asitokwe na damu.? Maana cja prove bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…