Je, msichana anaweza kupoteza usichana wake (bikra) bila kutokwa na damu?

sikuhz labda ukazifate darasa la pili..na la tatu..mana hku kwngne bikra adimuuuuu
 

huyo mwarabu hakula 0713?
 
Reactions: amu
Skiliza. Papuchi bikra lina mishipa midogo ya kupitisha damu (capillaries). Kwa iyo anapofanya mapenzi kwa mara ya kwanza, mboo inakata hiyo mishipa na ndio chanzo cha kutokwa na damu. Nidhani tumeelewana kufikia hapo
 
Damu sio lazima itoke....hebu tafuteni hii kitu inaitwa elastic hymen google is created for you, maana mpaka wazungu waambie ndo mtaamini
 
Jamani mbona kua akinadada wanaaema inawezaikatoka hatakwakufanya kazingum?
 
Mbona mimi.nilifumua mtoto mmoja huko mkoani bila damu ila mashine niliona ilipomgusa akashtuka ndio ikazama ndani sana akashtuka zaidi kukatokea kamlio ta! nikajua nimemtoa
...ila damu haikutoka tusifanye mazoea
 
Hebu mwanamama aliowahi kuwa nayo hiyo kitu atoe ushahidi uliotukuka hapa. Wapo, right?? Hehe, please don't shoot.
 
Vipi wadau je mtu akitumia condum hyo first time kwa kumtoa bikra mwanamke je inaweza sababisha damu isionekane pia or????
 
Siyo lazima, mimi sijawahi kuiona hiyo damu siku ya kwanza hadi leo hii.
na sijakulia kijijini, nimekulia makuzi ya kawaida tu. sina sababu ya kusema uongo ila kwa kuwa imenikuta nimeamini, ila kwa wanaume kuamini ni shida

dada angu hata uwaeleweshe vp hawataelewa tatizo humu wengi ni watoto wa shule ambao kifikra wanadhani wanajua kila kitu wakati bado ni mambumbumbu sana.wanachodhani ni km zile ngumi za kizamani kuwa anaetoka damu ndo kapigwa,qkili zao bado zinafikiri kitoto hivo.so achawakikua wataacha.ni upotevu wa muda kuongea na watoto mambo makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…