dada angu hata uwaeleweshe vp hawataelewa tatizo humu wengi ni watoto wa shule ambao kifikra wanadhani wanajua kila kitu wakati bado ni mambumbumbu sana.wanachodhani ni km zile ngumi za kizamani kuwa anaetoka damu ndo kapigwa,qkili zao bado zinafikiri kitoto hivo.so achawakikua wataacha.ni upotevu wa muda kuongea na watoto mambo makubwa