Je, Mtaani kwako kuna shida ya maji?, Afisa mtendaji mkuu wa DAWASA anapita kukagua

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa maji katika maeneo ya Ubungo, Mburahati, Magomeni, Saranga na Kinyerezi. Ziara hiyo imelenga kubaini changamoto na kuhakikisha huduma inawafikia wananchi.

Mhandisi Bwire amesema huduma ya maji katika mikoa ya Dar na Pwani iko vizuri na changamoto zinazojitokeza zinatatuliwa mara moja. Mwenyekiti wa Mtaa wa Kinyerezi, Hassan Hamiss Nandeta, ameishukuru DAWASA kwa maboresho yaliyofanywa ambayo yameanza kuwanufaisha wananchi.

DAWASA inaendelea kutekeleza mkakati wa kuboresha huduma za maji safi na usafi wa mazingira kwa wakazi wa Dar es Salaam na maeneo jirani.​
1758186473236.png

1758186514753.png
 
Huyo fara siku zote alikuwa wapi 👉💩💩💩💩
 
Je na kwetu Kizuzumule atapitaa?
 
Hawa jamaa sijui huwa wanatuona na kutuchukulia vipi yaani
 
Back
Top Bottom