Huyo fara siku zote alikuwa wapi ππ©π©π©π©Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa maji katika maeneo ya Ubungo, Mburahati, Magomeni, Saranga na Kinyerezi. Ziara hiyo imelenga kubaini changamoto na kuhakikisha huduma inawafikia wananchi.
Mhandisi Bwire amesema huduma ya maji katika mikoa ya Dar na Pwani iko vizuri na changamoto zinazojitokeza zinatatuliwa mara moja. Mwenyekiti wa Mtaa wa Kinyerezi, Hassan Hamiss Nandeta, ameishukuru DAWASA kwa maboresho yaliyofanywa ambayo yameanza kuwanufaisha wananchi.
DAWASA inaendelea kutekeleza mkakati wa kuboresha huduma za maji safi na usafi wa mazingira kwa wakazi wa Dar es Salaam na maeneo jirani.
Kwamba Afisa mtendaji hajui kuwa maji yanatoka au hayatoki, hadi apite kukagua?
Je na kwetu Kizuzumule atapitaa?Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa maji katika maeneo ya Ubungo, Mburahati, Magomeni, Saranga na Kinyerezi. Ziara hiyo imelenga kubaini changamoto na kuhakikisha huduma inawafikia wananchi.
Mhandisi Bwire amesema huduma ya maji katika mikoa ya Dar na Pwani iko vizuri na changamoto zinazojitokeza zinatatuliwa mara moja. Mwenyekiti wa Mtaa wa Kinyerezi, Hassan Hamiss Nandeta, ameishukuru DAWASA kwa maboresho yaliyofanywa ambayo yameanza kuwanufaisha wananchi.
DAWASA inaendelea kutekeleza mkakati wa kuboresha huduma za maji safi na usafi wa mazingira kwa wakazi wa Dar es Salaam na maeneo jirani.
Msimu uleeee wa chaguzi,mupe muruke kama kawaida ya kwao!Aende zake. Waache drama.