dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Wewe sema mtaani kwako, maji yapo?Uko mkoa gani bwashee?
KabisaNamshauri rais wetu mama Samia Suluhu Hassan,atoe tamko rasmi; ya kwamba ni marufuku kwa huduma za kijamii kubadilika utofauti wowote utakaotokea utahesabika kama sabotage kwa awamu ya sita.
Maji yatoke tena yaliyowekwa dawa,umeme usikatike kama ilivyokuwa awali,na atakayesababisha badiliko lolote la huduma hizi kama zilivyokuwa zinatolewa awali atawajibika mara moja.
Namtakia kazi njema rais wetu na Allah amjalie,atuongoze vyema.
Yapo ya kumwaga!Wewe sema mtaani kwako, maji yapo?
Basi hongereniYapo ya kumwaga!
Nyie muangalie tu.Ambao hata hayo mabomba hayajapita tunachangia pia????