Je! mtandao ukiwa na download speed kubwa ndio mzuri ?

Je! mtandao ukiwa na download speed kubwa ndio mzuri ?

upload_2017-11-20_17-5-58.png
 
NIMEJIFUNZA KITU
ubarikiwe uliyetoa hii thread maan weng tulikuw tunatafsr vbay,much obliged to u
 
Umetoa taarifa nzuri sana Chief.
Salute to you.
Kwann wizara ya mawasiliano haifanyi mchakato wa kuboresha mambo haya na kuwa strong-arm makampuni ya isp kuwa katika standards.
Kuna wakati nilisoma report moja online baada ya kuwa nmesikitishwa sana na uwezo wa internet hapa nchini kwetu na bei zake pia. Kwenye report hii ambayo iliandikwa na watu wanaoprovide bandwidth kwa mkonge wa taifa walisema kuwa wanaiuzia nchi yetu kwa bei rahisi sana na uwezo ni wa juu lakini wanachoshangaa ni kuwa customers wanakuwa charged bei kubwa kwa uwezo mdogo. Hadi wakaendelea na kusema kama tunahitaji tupunguziwe bei tuseme ili watu wengi zaidi wa uwezo wa juu na chini wawe na easy access ya information .
Tazama tunavokuwa tunaendelea kuaibika kila kukicha.
Mimi nmewaelewa saasa naomba kujua kuanzia leo ni mtandao gani hapa tz ulio vizir kwa mjibu wa mada hii yaani unapota upload, download, na ping au kwa vyote upi unakitahidi sana.
 
Kaka mwisho wa siku ni speed tu. Hiyo ping inaweza kuwa kubwa au ndogo kutegemea na bottlenecks kwenye intermediate nodes au labda uplink kutoka kwa ISP kwenda kwa global ISP. Na bottlenecks nyingine huwa zinasababishwa na slow processing routers and gateways. Ila mwisho wa siku hiyo round trip ya ping inategemea na speed ya route nzima iliyotumika kutuma request. Ukiwa na 5 mbps down link halafu somewhere in between kuna router ambayo maximum processing capacity yake ni 1 mbps lazima usubiri.

Nachojaribu kusema ni kuwa ping round trip na latency ni vitu vinavyotegemea speed ya route nzima sio tu ile iliyopo kati ya mtumiaji na ISP.
Kwa iyo sasa upi mtandao mzur kwa hapa tz wenye speed nzuri kila sehem iwe download au ping au uploading
 
Hii hapa ni vodacom nipo dar mitaa ya tabata vp iko poa kwa mjibu wa wataalam au??
Screenshot_20180919-161534.jpg
 
Huuu uzi watu wakisha uterekeza kumbe [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mimi nmewaelewa saasa naomba kujua kuanzia leo ni mtandao gani hapa tz ulio vizir kwa mjibu wa mada hii yaani unapota upload, download, na ping au kwa vyote upi unakitahidi sana.
Mitandao yote ya 4g ni mizuri na kwa 3g halotel wanajitahidi kwenye ping.

Kwa experience yangu ya kucheza games online TTCL ni best kwenye ping wakifuatiwa na Halotel,voda na tigo.

screenshot uliyoweka ni around 100ms sio mbaya sana.
 
Ok
 
Back
Top Bottom