hahahaa sasa mbwiga unadhani ataenda wapi?? ye anachojua ni kumsifia dauda, mawingu na kuchambua ndondo na wahenga wenzake bas...Mbwiga vipi yeye atafia mawingu?..Safi Leah..
Mzee mbwiga kanipa funzo kubwa sana kamwe kwenye maisha hamna kukata tamaa katoboa ukubwani hapo tu mi hoihahahaa sasa mbwiga unadhani ataenda wapi?? ye anachojua ni kumsifia dauda, mawingu na kuchambua ndondo na wahenga wenzake bas
hahaha kweli mkuu. Ila mbwiga wamuongezee kipindi, anafaa kua pembeni ya diva ze bosi hii itakua perfect combo.Mzee mbwiga kanipa funzo kubwa sana kamwe kwenye maisha hamna kukata tamaa katoboa ukubwani hapo tu mi hoi
huyu aliyeingia clouds leo sio yeye huyu maoni wanajamviMtangazaji na mchambuzi wa michezo mahiri wa Azam Tv, Jeff Leah kwamuda mrefu sasa hajaonekana katika vipindi vya Azam Tv, huku akiwa anaonekana katika matangazo ya Star times ya kombe la dunia kwa kiswahili.
Je, mchambuzi Jeff Leah amehama rasmi Azam Tv? Karibuni mtujuze
Mbwiga Huwa namkubali sana!Mzee mbwiga kanipa funzo kubwa sana kamwe kwenye maisha hamna kukata tamaa katoboa ukubwani hapo tu mi hoi