Je mtangazaji Jeff Leah wa Azam Tv amehamia star times?

Je mtangazaji Jeff Leah wa Azam Tv amehamia star times?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Mtangazaji na mchambuzi wa michezo mahiri wa Azam Tv, Jeff Leah kwamuda mrefu sasa hajaonekana katika vipindi vya Azam Tv, huku akiwa anaonekana katika matangazo ya Star times ya kombe la dunia kwa kiswahili.
Je, mchambuzi Jeff Leah amehama rasmi Azam Tv? Karibuni mtujuze
 
...Mbwiga vipi yeye atafia mawingu?..Safi Leah..
 
Sasa mbona ametoka NBA kaenda D-League kama TALL Hashim Thabit?
 
Mzee mbwiga kanipa funzo kubwa sana kamwe kwenye maisha hamna kukata tamaa katoboa ukubwani hapo tu mi hoi
hahaha kweli mkuu. Ila mbwiga wamuongezee kipindi, anafaa kua pembeni ya diva ze bosi hii itakua perfect combo.
 
Amerud clouds fm leo
IMG_20180516_123426_253.jpg
 
Mtangazaji na mchambuzi wa michezo mahiri wa Azam Tv, Jeff Leah kwamuda mrefu sasa hajaonekana katika vipindi vya Azam Tv, huku akiwa anaonekana katika matangazo ya Star times ya kombe la dunia kwa kiswahili.
Je, mchambuzi Jeff Leah amehama rasmi Azam Tv? Karibuni mtujuze
huyu aliyeingia clouds leo sio yeye huyu maoni wanajamvi
 
Huyu dogo huwa namkubali sana anapochambua michezo hana mihemko kama wakina Dauda
 
Mzee mbwiga kanipa funzo kubwa sana kamwe kwenye maisha hamna kukata tamaa katoboa ukubwani hapo tu mi hoi
Mbwiga Huwa namkubali sana!
Zile swaga zake kipindi kinakua kizuri
 
Back
Top Bottom