GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Weka picha mkuu tuwaone tuwalinganishe huo mfanano wao
Uko majicho shem hulali?Huu uzi bila picha za uso kwa uso haunogi
Nalala muda mfupi ujaoUko majicho shem hulali?
Huyu si Nkem Owoh wa Nigeria?View attachment 608193 na huyu pia nae kafanana sana na Sumaku na Spencer pia
Huyu si Nkem Owoh wa Nigeria?
Kuna mbongo nae kafanana nae sana, jina silikumbuki...
Uko majicho shem hulali?
Nalala muda mfupi ujao
duuuhJF imetutengeneza kama misukule.
hahahaahahJF imetutengeneza kama misukule.
hahahaahah
nimewaza sana jana kuhusu hili. halafu kuna utani ambao pia saa ingine unaruhusu shetani kufanya kazi yakeMaana utashangaa ukishtuka usiku tu unagusa simu kuangalia notification, yaani hata saa nane usiku usingizi ukikata unajikuta unaingia tu JF kujiliwaza.
nimewaza sana jana kuhusu hili. halafu kuna utani ambao pia saa ingine unaruhusu shetani kufanya kazi yake
kwa mafano watu tunajiita mapopo na mabundi loooh na tunaona ni sawa tu japo sio
tunajiita sisi ni wanga na tunaona ni sawa tu bila kuwaza
tunajiita wavaa kanik nyeusi na kitambaa chekundu na tunaona kawaida tu
llooooh mimi nitaacha kukubali hayo majina najua mabaya yake in sprit realm
mimi hujanifikia kwenye mambo ya addictionNisamehe kwa kutumia neno lile, ila kiukweli mimi sipendi jinsi nilivyo addict wa JF, kwa kiasi kikubwa sana nimepunguza.
Imagine uko na watu mmekaa mnajadili kitu cha maana, ukiona notification ya JF tayari ulishaingia na unajikuta hata focus ya mlichokuwa mnaongea inapotea, au unashtuka usiku saa 7 unaanza kuperuzi JF.
Tena wengine wanaenda mbali kiasi kwamba hata muda wa kupiga story na wenzi wao unakosekana kisa JF, insta, FB na whatsapp groups.