Je, Mtangazaji wa ITV Spencer Lameck ana undugu wowote na Mchekeshaji wa Mizengwe Sumaku?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Je hawa ni Mtu na Baba yake au ni Mtu na Mpwa wake au ni Mtu na Mdogo wake? Nauliza hivi kwakuwa wamefanana kiasi kwamba ni vigumu kutokuamini kuwa labda wana mahusiano makubwa ya Kindugu na usipokuwa makini unaweza siku ukakutana na Mtangazaji Spencer Lameck ukadhani ni Mchekeshaji Sumaku na kinyume chake.

Nawasilisha.
 
1.JPG
download.jpg
download.jpg
download.jpg
download.jpg
 
Maana utashangaa ukishtuka usiku tu unagusa simu kuangalia notification, yaani hata saa nane usiku usingizi ukikata unajikuta unaingia tu JF kujiliwaza.
nimewaza sana jana kuhusu hili. halafu kuna utani ambao pia saa ingine unaruhusu shetani kufanya kazi yake
kwa mafano watu tunajiita mapopo na mabundi loooh na tunaona ni sawa tu japo sio
tunajiita sisi ni wanga na tunaona ni sawa tu bila kuwaza
tunajiita wavaa kanik nyeusi na kitambaa chekundu na tunaona kawaida tu
llooooh mimi nitaacha kukubali hayo majina najua mabaya yake in sprit realm
 
Nisamehe kwa kutumia neno lile, ila kiukweli mimi sipendi jinsi nilivyo addict wa JF, kwa kiasi kikubwa sana nimepunguza.

Imagine uko na watu mmekaa mnajadili kitu cha maana, ukiona notification ya JF tayari ulishaingia na unajikuta hata focus ya mlichokuwa mnaongea inapotea, au unashtuka usiku saa 7 unaanza kuperuzi JF.

Tena wengine wanaenda mbali kiasi kwamba hata muda wa kupiga story na wenzi wao unakosekana kisa JF, insta, FB na whatsapp groups.
 
mimi hujanifikia kwenye mambo ya addiction

hahahahah acha na mimi niwe kama wewe

duuuh sijasema wewe ndo unatamka hayo maneno ila Baadhi au wote wa jf tunakuwa kama machizi vile tukishawaza JF
inanisaidia though
i have learned a lot of things through JF, inajibu maswali mengi ambayo nilikuwa nashindwa kuyajibu
 
Back
Top Bottom