Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
mimi hujanifikia kwenye mambo ya addiction
hahahahah acha na mimi niwe kama wewe
duuuh sijasema wewe ndo unatamka hayo maneno ila Baadhi au wote wa jf tunakuwa kama machizi vile tukishawaza JF
inanisaidia though
i have learned a lot of things through JF, inajibu maswali mengi ambayo nilikuwa nashindwa kuyajibu
JF ni best of all social networks kama ukijua kuitumia, ni shule, ni radio, ni TV na ni nyumba iliyojaa marafiki, ni mahali unaweza ukachekeshwa na kufurahishwa na mtu usiye mjua hata.
Tatizo linakuja kuwa kwamba usipokuwa makini unajikuta hata ukaribu na watu wa nje ya JF kwa sababu muda wote unataka kuwa JF, ukiwa sehemu haina mtandao unawaza nini kimepostiwa JF.
Nakumbuka kipindi cha uchaguzi JF ilikuwa inaenda offline mara kwa mara basi watu tulikuwa tunahangaika sana.