Je, Mtangazaji wa ITV Spencer Lameck ana undugu wowote na Mchekeshaji wa Mizengwe Sumaku?

mimi hujanifikia kwenye mambo ya addiction

hahahahah acha na mimi niwe kama wewe

duuuh sijasema wewe ndo unatamka hayo maneno ila Baadhi au wote wa jf tunakuwa kama machizi vile tukishawaza JF
inanisaidia though
i have learned a lot of things through JF, inajibu maswali mengi ambayo nilikuwa nashindwa kuyajibu

JF ni best of all social networks kama ukijua kuitumia, ni shule, ni radio, ni TV na ni nyumba iliyojaa marafiki, ni mahali unaweza ukachekeshwa na kufurahishwa na mtu usiye mjua hata.

Tatizo linakuja kuwa kwamba usipokuwa makini unajikuta hata ukaribu na watu wa nje ya JF kwa sababu muda wote unataka kuwa JF, ukiwa sehemu haina mtandao unawaza nini kimepostiwa JF.

Nakumbuka kipindi cha uchaguzi JF ilikuwa inaenda offline mara kwa mara basi watu tulikuwa tunahangaika sana.
 
yaaaan nilihisi mimi tu ndo nimeathiriwa na hii kitu.

Nakumbuka mwaka jana around November nilitoka nje ya nyumba yangu kwenda kutafuta network duuuh

sijarudia tena hii kitu maana kwanza ilikuwa usiku around saa mbili ila nilikuja kujiona mjinga. I had to find escort wanipeleke sehemu ambayo kuna network. Ashukuriwe Mungu nilihama hiyo mitaa now niko sehemu full network

teh teh
 
osuofia-jpg.608193
 
Madam umetisha, mpaka ulitafuta escort kutafuta network!

Ila kiukweli hii mitandao ya kijamii usipoangalia jinsi ya kudili nayo inaweza kukufanya mtumwa.

Muhimu ni kujiwekea mipaka na kujua ni muda gani ufanye kazi au vitu vingine na ni muda gani uwe kwenye mitandao.
 
yaani tangia siku hiyo nimebadilika
duuuh usinikumbushe loooh
sasa ni mtu mwingine. ila uzuri inanisaidia sanaaaa na ninaipenda sana
You can find me active only in JF, thus my best mtandao
 
Safi sana.

JF ukishaifahamu unajikuta mitandao mingine unaipotezea kabisa.
 
Kweli, maana ina kila jukwaa, ushindwe mwenyewe tu.
yap
ila ina watu wenye maudhi, ni uwe tu na roho ngumu na utulivu
juzi kuna demu mmoja eti alinitaka kimapenzi. Nilisikia nakabwa koo ila nikapotezeaa
duuuh mambo ingine bhana sio kabisa
 
Ndiyo maana nikasema kitu muhimu ni kujua jinsi ya kuitumia hii mitandao, watu wa ajabu hawakosi kila mahali.

Kama nakuona jinsi ulivyokereka, kuna IDs za mashoga humu zilishawahi kuanikwa... halafu hata hawaogopi kufanya approach (so disgusting).
 
yaani usinikumbushe mkuu, nilitamani hata mods wamfute kabisa huku atakuja kuharibu mabinti za watu
nilichukia sana
 
Ungeweza hata kumripot kwa mods, halafu unakuta ni mtu very popular, na anakuwa na positive influence.

Nakuja PM umniambie.
 
Back
Top Bottom