911
Platinum Member
- Aug 22, 2008
- 852
- 501
Now I can smell the return of the Field Marshall....we unawazimu.. Do you know this woman? She is a a leach..a poison... Bora mmpe mama Mkapa..kuliko huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now I can smell the return of the Field Marshall....we unawazimu.. Do you know this woman? She is a a leach..a poison... Bora mmpe mama Mkapa..kuliko huyu.
Ukiangalia kila kiongozi Tanzania ni FISADI.Na kila siku humu watu tunakaa na kujadili na kulalamika sana kuhus viongozi wetu hawa.
Swali ni je tumekaa na kufikiria ni nani atafaa kuingoza Tanzania kunako 2010?.Maana hiyo 2010 siyo mbali atii, hivi sasa tupo tunaingia april 2009 inamaana sasa hivi ni wakati muafaka wa kuandaa wagombea wa kiti cha uraisi 2010 (iwe CCM or Chadema,CUF etc).
Mimi nadhani ni wakati muafaka akijitokeza mwanamke hii 2010 kugombea hicho kiti cha raisi, it doesnt matter anatokea chama gani.Wako smart women kwenye Tanzanian politics wengi tuu ambao wana qualify.Mfano akina Anna Makinda (very smart and strong woman) na wala siyo FISADI.
Ukiangalia kwenye uchaguzi wa marekani watu wengi walikuwa hawaamini kabisa marekani ingeweza kuongozwa na mwanamke.Look at Hilary alikuwa kidogo tuu achukue uraisi,she never back down no matter what ali-stand up strong.I believe kuna wamawake Tanzania wako strong and smart kama Hilary Clinton.
Ukiangalia kila kiongozi Tanzania ni FISADI..
Mimi nadhani ni wakati muafaka akijitokeza mwanamke hii 2010 kugombea hicho kiti cha raisi, it doesnt matter anatokea chama gani.Wako smart women kwenye Tanzanian politics wengi tuu ambao wana qualify.Mfano akina Anna Makinda (very smart and strong woman) na wala siyo FISADI...
Hilary alikuwa kidogo tuu achukue uraisi,she never back down no matter what ali-stand up strong.I believe kuna wamawake Tanzania wako strong and smart kama Hilary Clinton...
Nyie vipi? Anne Kilango Malecela for presidency 2010....nani hataki?
we unawazimu.. Do you know this woman? She is a a leach..a poison... Bora mmpe mama Mkapa..kuliko huyu.
Hahahaha haya bana hebu elezea kidogo kwanini Anna Mkapa anafaa zaidi kuliko yule mbuge machachali?
SASA UNA MAANA KILA KIONGOZI TANZANIA NI MWANAUME?
HAPA SIO KWELI!kuna wanawake kibao walioshika nafasi wakaambulia KASHFA ZA UBADHILIFU!of all the ladies nenda ukaone jina la ANNA MKAPA kwenye '50 people who are screwing up tz!
I WOULD SUGGEST YOU GO FOR THE PRACTICAL EXAMPLE!hillary IN THE BIG METROPOLITAN COUNTRIES,which means hawezi kuwa na njaa ambazo nchi za dunia ya tatu zinazo.
Ningependa ujue tu huu mfano wa hillary SIO HALISI.i knw there may be women IN AFRICA.........
ALL THE WAY!thred yako nzuri
George Carlin said:I don't vote. Two reasons. First of all it's meaningless; this country was bought and sold a long time ago. The shit they shovel around every 4 years *pfff* doesn't mean a f****g thing. Secondly, I believe if you vote, you have no right to complain. People like to twist that around they say, 'If you don't vote, you have no right to complain', but where's the logic in that? If you vote and you elect dishonest, incompetent people into office who screw everything up, you are responsible for what they have done. You caused the problem; you voted them in; you have no right to complain. I, on the other hand, who did not vote, who in fact did not even leave the house on election day, am in no way responsible for what these people have done and have every right to complain about the mess you created that I had nothing to do with.
Mimi Nilidhani Kelly thread yako unge edit kichwa that is ki read Sasa ni mwanamke gani Anafaa 2010? kwani details zimebase kwenye gender.
Otherwise according to Petu Hapa, mimi ninaona watu wachache tu wenye guts kama Magufuli. Vinginevyo apewe one of the JF members kama Invisible, Mzee mwanakijiji etc...then watakuwa in a position to chose some others members ambao hawana chembe ya ufisdi toka hapa JF then wawe ministers. Achana na manyama CCM.
Sema natabiri atapata 60-65% ya kura na sii tena over 80% za 2005!
Apewe mwanakijiji!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tumekwishaaaaaa
Kelly uraisi umekuwa ukipatikana kwa namna uliyoipendekeza hapo juu,muislam,mkristo,haiba hii ama ile nk
Ofcourse kwa muda imekuwa hivyo chini ya chama kimoja,na kwahiyo sishangazwi sana unapoleta karata ya feminism.
Hata hivyo maoni yangu;swali la kwanza kwa mgombea yoyote yule...What he/she going to do differently?
Swali hilo aliulizwa JK na mwanadada ambaye hata si Mtanzania...Utafanya nini cha tofauti?alishindwa kusema kuwa atafanya nini cha tofauti,hilo likiwa swali la msingi then tunaweza kusikiliza kama it make sense na si porojo za itikadi za vyama nk.
Nasapoti pia mgombea binafsi.