Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
so you are judging people without knowing their intention uuh!...
lol sijakupa taw\kwimu za TGNP......
.....unaoana sasa alafu mnataka kutuongoza....
No tunajadili watu na sifa zao.....wapi mtu kajadiliwa bila sifa?
Kila mtu ana standards zake....mimi demu akiwa yuko kwenye myspace...hi5...facebook...tweeter....and whatnot....is a dealbreaker! It's just my standard and it doesn't get lowered! Nope....no way.
Unacheza wewe..that is social life...mbona wewe uanshinda jf what is the different na hizo network nyingine?.....
tofauti ni hakuna mapicha hapa yanayoweza kubanduliwa na kupelekwa let's say sehemu kama zeutamu....halafu niko hapa for the intellectual value of the topics discussed....sasa huko facebook na myspace watu wanachofanya ni kubandika mapicha yao na watu ku-hook up and that' why they are called social networking sites.
Kila mtu ana standards zake....mimi demu akiwa yuko kwenye myspace...hi5...facebook...tweeter....and whatnot....is a dealbreaker! It's just my standard and it doesn't get lowered! Nope....no way.
tofauti ni hakuna mapicha hapa yanayoweza kubanduliwa na kupelekwa let's say sehemu kama zeutamu....halafu niko hapa for the intellectual value of the topics discussed....sasa huko facebook na myspace watu wanachofanya ni kubandika mapicha yao na watu ku-hook up and that' why they are called social networking sites.
kweri aisee kweri kabisaa....
Siyo kila mtu aliyeko kwenye hizo networking has to download their picture if you want yes you can do so...but not necessarily....na wewe umejuaje kama watu wanaweka picha zao kama hauna profile na unachotafuta kwenye site ya zeutamu nini kama siyo udaku...?alafu mnasema mnataka kuongoza nchi? puleaseee
kumbe husomi kinachoandikwa na wakati huo huo bado mnapigania haki za kuwa viongozi wetu.....sasa na wewe unakubaliana naye kwa point ipi?...akikwambia kula mavi na wew eutasema eeh kweli aisee ngoja nile?
sasa na wewe unakubaliana naye kwa point ipi?...akikwambia kula mavi na wew eutasema eeh kweli aisee ngoja nile?
Kujua kuwa watu wanabandika mapicha yao huko facebook is not complicated logarithm......na baada ya kuisikia sana zeutamu....I became curious.....so I checked it out...and I was like..oh okay...
No...ni hivi Kighost Kelly (unaikumbuka hiyo..lol)...anachuja pumba na mchele kwa mujibu wa anavyoona yeye....siyo kwamba anakubaliana na kila kitu..no.
kumbe husomi kinachoandikwa na wakati huo huo bado mnapigania haki za kuwa viongozi wetu.....
....soma alichokiandika kwa nilicho kiquote ndio ninacho sapoti.....
......
Nadhani alikosea spelling,hata hivyo definition ya wikipedia hii hapo chini...
A hermaphrodite is an organism having both male and female reproductive organs.
Achana na huyo aliyeniita kighosti....hana sera
Hakuna mwanamke anaweza kuongoza Tanzania....hakuna huyo Anna Makinda mbunge miaka zaidi ya 25 kafanya nini jimboni kwake......Mongela fisadi hana lolote...Mimi nadhani ni wakati muafaka akijitokeza mwanamke hii 2010 kugombea hicho kiti cha raisi, it doesnt matter anatokea chama gani.Wako smart women kwenye Tanzanian politics wengi tuu ambao wana qualify.Mfano akina Anna Makinda (very smart and strong woman) na wala siyo FISADI.
Hakuna mwanamke anaweza kuongoza Tanzania....hakuna huyo Anna Makinda mbunge miaka zaidi ya 25 kafanya nini jimboni kwake......Mongela fisadi hana lolote...
......wanawake wamepewa vyeo wameharibu Mama Meghi na wenzake.....huwezi kumlinganisha Hilali klintoni na mwanamke yoyote tanznia.....that mama ni very strong ajabu hamna Tz.......JF kwenyewe hapa mmeshindwa kujisamamia!!!