Sasa si muamue mumtoe ebo, tangu mwaka 1995 mpaka leo story ni zile zile wagombeaji ni wale wale what does that tell you kuhusu siasa zetu?
Eeeh bana eeh, we mkali.
Kelly for President 2010!
Miye wala upresidaa sitaki ila nipe tuu wizara ya michezo/entertainment i will do better......
... wewe uliishachukua form ama kuhamasisha wenzako kuelekea magogoni na mawe, marungu, makombeo, tofari, mikuki, pinde ..you mention them. ...
Yeah...just stick to those only...okay?
hahahhhaah...i knew you will second that....well i guess.
OK,Tuanze na Mama Killango na Anna Makinda kwasababu ndio wanawake walioko kwenye position ya kugombea nafasi za juu....How are they going to do it different?
Acha kuchochea vurugu wewe, talk of forensics!
Mengine utakuwa unalazimisha....just stick to facebook, party, babyshower etc. etc.....siasa...hhhhhmmm.....waachie wengine
Uncle I
Inabidi tuanze na wewe uliishachukua formza kugombea? ama kuhamasisha wenzako kuelekea magogoni na mawe, marungu, makombeo, tofari, mikuki, pinde ..you mention them. Binafsi sijawahi hata piga kura wa kujiandikisha ila this time yes....I can not wait for the change..my single vote will make a difference
what's wrong with facebook?...do you happen to have bad experience nini?....talk to me and i am a good listner.
Sijui hata kuitumia.....unaweza kuweka tutorial hapa?
What, are you kidding me? sijawahi na sintowahi, mie sio mwanasiasa na sijawahi kupiga kura.
I am not a tutor so i cant do it..how did you get into zeutamu?...
Hilo swali inabidi wajibu wenyewe...waje na sera zao lakini syo sisi kuwapangia kama wako tayari kubadilisha nchi...which i know they are ready kama mpo nao bega kwa bega....trust me on this!
You and Yo Yo showed me.....
What, are you kidding me? sijawahi na sintowahi, mie sio mwanasiasa na sijawahi kupiga kura.
Kama wanaume wenyewe hatuwezi kuwazungumzia from nowhere..Whats the difference with women?
Kwasababu mgombea binafsi bado kukubaliwa,then tunaweza kabisa kuona wanaume na wanawake gani wataweza kugombea based on their political parties,na ndio maana pia nasisitiza kuwa what difference are they going to make?
So kwasababu mjadala hapa ni mwanamke,then tuangalie wale waliko kwenye rank za juu ndani ya vyama vyao.