Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
Wadau,

Nimekuwa nikifuatilia mijadala inayoendelea katika forum hii. Nataka kutoa changamoto kwa wadau wenzangu ili tujadili swali lifuatalo:

Je, ni mtanzania gani ana SIFA na VIGEZO vya kuiongoza Tanzania? Wachangiaji wanaweza kupendekeza majina MATATU.

Itakuwa vyema kama wachangiaji watatoa sababu zinazowafanya watoe mapendekezo hayo?

Nawasilisha hoja:

UPDATE:

Majina Matatu (makubwa) Yaliyopendekezwa:

  1. Jakaya Kikwete - CCM
  2. Willibrod Slaa - CHADEMA
  3. Ibrahim Lipumba - CUF

Kumbe Dr. Slaa alianza kutayarishwa mapema kiasi hiki! 2007, ndio maana saini za wanafunzi 400 zilipatikana kwa masaa machache tu
 
naomba msaada kwani nimetaka kuutach picha ya kuuzwa kigamboni nimeshindwa
 
Mambo aliyofanya bungeni, ni mwazi, elimu yake, anapinga ufisadi kwa dhati, hana ubaguzi au udini.
Tuke,
kiteto
wadau,

nimekuwa nikifuatilia mijadala inayoendelea katika forum hii. Nataka kutoa changamoto kwa wadau wenzangu ili tujadili swali lifuatalo:

je, ni mtanzania gani ana sifa na vigezo vya kuiongoza tanzania? Wachangiaji wanaweza kupendekeza majina matatu.

itakuwa vyema kama wachangiaji watatoa sababu zinazowafanya watoe mapendekezo hayo?

nawasilisha hoja:

update:

majina matatu (makubwa) yaliyopendekezwa:

  1. jakaya kikwete - ccm
  2. willibrod slaa - chadema
  3. ibrahim lipumba - cuf
 
kitila unaogopa kutaja jina?
kwa nini unaogopa kutaja jina
hujiamini au unajiamini ila unaogopa,
anyway ni uhamuzi wa busara pia
 
:smile-big::doh:! Leo ndio leo! Maandiko yatatimia! Anaefaa, sorry atakaechaguliwa kuwa raisi wetu tutamjua!
 
Back
Top Bottom