nikisema mzazi wake ndo kamuua ntakua nimekosea in case mzazi kafanya mambo fulanifulani?ndio wanaugua, ndio maana mama mjamzito hukatazwa baadhi ya tabia/vitendo maana huweza sababisha mtoto kuzaliwa na matatizo (kuuguli ndani kwa ndani hadi kukata moto)
Nilifanyiwa opareshen lazima homa ikuhusuje wewe ulikuwa huna homa kwa wakati huo?
Wewe dini gani???? Inawezekana kuna wapumbavu walikuchezeaWanaugua nakumbuka nlijifungua mtoto aliekua anahoma Kali mpaka kupelekea kifo chake baada ya siku tatu
Inawezekana Mimi nimkristoWewe dini gani???? Inawezekana kuna wapumbavu walikuchezea
Umepata mtoto mwingine?Inawezekana Mimi nimkristo
anaweza kuuguaWana JF karibuni kwa mjadala huu
Napenda kujua kama watoto wachanga wawapo tumboni kwa mama zao {kabla ya kuzaliwa} wanaweza kuugua {ugonjwa wa aina yeyote}?
Na kama huwa wanaugua nini hutumika kama dawa kuwaponesha? Au mechanism gani hutumika kumponesha kutoka kwa mama yake?
Na kama hawaugui wawapo tumboni takribani miezi tisa kwa nini mara tu wazaliwapo na kuanza kuishi huku duniani huandamwa na magonjwa tangu utoto hadi umati?
Magonjwa yanaexist katika ulimwengu gani?
Na kama hawaugui je dawa tunazotumia ni sahihi kwa miili yetu?
PoleWanaugua nakumbuka nlijifungua mtoto aliekua anahoma Kali mpaka kupelekea kifo chake baada ya siku tatu
Thx myPole