Je, mtoto wa nyoka ni nyoka? Mtoto wa Osama Bin Laden atakiwa kuondoka nchini Ufaransa

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Serikali ya Ufaransa imemuamuru Omar bin Laden, mtoto wa kiongozi aliyeuawa wa Al Qaeda Osama bin Laden, kuondoka nchini humo kutokana na machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii.

Waziri mpya wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bruno Retailleau, ameandika kwenye mtandao wa X kwamba mtoto huyo wa Bin Laden alichapisha mwaka jana maoni kwenye mitandao yake ya kijamii ambayo yalitetea vitendo vya ugaidi.

Omar mwenye umri wa miaka 43, alizaliwa na kuishi nchini Saudi Arabia kabla ya kuelekea katika mataifa ya Sudan na Afghanistan. Alijitenga na baba yake akiwa na umri wa miaka 19 na akaamua kuishi na mke wake raia wa Uingereza huko Normandy kaskazini mwa Ufaransa mnamo mwaka 2016 akijishughulisha pia na uchoraji.

1728468041669.png
 
Wafaransa hao hao wanaoulea Ugaidi na kuukuza vyema katika nchi nyingi za Afrika wao hawajioni.
 
Y
Kwanini huwa hawapendi kukaa kwenye zao iran, iraq, saudia, afghan, pakistan, tajikistan n.k?

badala yake hupenda kwenda ulaya na marekani na wakifika huko huanzisha chokochoko zao za kipumbavu
Hawa jamaa kwakweli wanafikirisha sana si aende kwao saudia maisha simazuri na kuna oil kbaao
 
Serikali ya Ufaransa imemuamuru Omar bin Laden, mtoto wa kiongozi aliyeuawa wa Al Qaeda Osama bin Laden, kuondoka nchini humo kutokana na machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii.

Waziri mpya wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bruno Retailleau, ameandika kwenye mtandao wa X kwamba mtoto huyo wa Bin Laden alichapisha mwaka jana maoni kwenye mitandao yake ya kijamii ambayo yalitetea vitendo vya ugaidi.
Omar mwenye umri wa miaka 43, alizaliwa na kuishi nchini Saudi Arabia kabla ya kuelekea katika mataifa ya Sudan na Afghanistan. Alijitenga na baba yake akiwa na umri wa miaka 19 na akaamua kuishi na mke wake raia wa Uingereza huko Normandy kaskazini mwa Ufaransa mnamo mwaka 2016 akijishughulisha pia na uchoraji.

Mtoto wa Osama Bin Laden atakiwa kuondoka nchini Ufaransa – DW – 08.10.2024
Lisu alifanyiwa ugaidi na kikundi cha kigaidi ambacho kilikuwa kinafadhiriwa na JIWE chini ya mratibu wake ndugu P MAKO.
 
Kwanini huwa hawapendi kukaa kwenye zao iran, iraq, saudia, afghan, pakistan, tajikistan n.k?

badala yake hupenda kwenda ulaya na marekani na wakifika huko huanzisha chokochoko zao za kipumbavu
Wanakuwa na uraia pacha.

Una kingine?
 
Hay
Serikali ya Ufaransa imemuamuru Omar bin Laden, mtoto wa kiongozi aliyeuawa wa Al Qaeda Osama bin Laden, kuondoka nchini humo kutokana na machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii.

Waziri mpya wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bruno Retailleau, ameandika kwenye mtandao wa X kwamba mtoto huyo wa Bin Laden alichapisha mwaka jana maoni kwenye mitandao yake ya kijamii ambayo yalitetea vitendo vya ugaidi.

Omar mwenye umri wa miaka 43, alizaliwa na kuishi nchini Saudi Arabia kabla ya kuelekea katika mataifa ya Sudan na Afghanistan. Alijitenga na baba yake akiwa na umri wa miaka 19 na akaamua kuishi na mke wake raia wa Uingereza huko Normandy kaskazini mwa Ufaransa mnamo mwaka 2016 akijishughulisha pia na uchoraji.

Haya jasusi hilo lishakwiva sasa mipango inasukwa kulipeleka mashariki ya kati, hii Dunia Kuna watu wajanja sana.
 
Kuna ndugu zake waliliwa kichwa kimyakimya kwa ajali ya private jet uingereza.
 
Kwanini huwa hawapendi kukaa kwenye zao iran, iraq, saudia, afghan, pakistan, tajikistan n.k?

badala yake hupenda kwenda ulaya na marekani na wakifika huko huanzisha chokochoko zao za kipumbavu
Wanausambaza!
 
Serikali ya Ufaransa imemuamuru Omar bin Laden, mtoto wa kiongozi aliyeuawa wa Al Qaeda Osama bin Laden, kuondoka nchini humo kutokana na machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii.

Waziri mpya wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bruno Retailleau, ameandika kwenye mtandao wa X kwamba mtoto huyo wa Bin Laden alichapisha mwaka jana maoni kwenye mitandao yake ya kijamii ambayo yalitetea vitendo vya ugaidi.

Omar mwenye umri wa miaka 43, alizaliwa na kuishi nchini Saudi Arabia kabla ya kuelekea katika mataifa ya Sudan na Afghanistan. Alijitenga na baba yake akiwa na umri wa miaka 19 na akaamua kuishi na mke wake raia wa Uingereza huko Normandy kaskazini mwa Ufaransa mnamo mwaka 2016 akijishughulisha pia na uchoraji.

Ufaransa ni kama Iran wote wanalea ugaidi! Ukikumbatia moto lazima ukuchome!
 
Si inasemekana kizazi cha Osama kiliteketezwa chote kupitia mpango wa chanjo huko Afghanistan
 
Back
Top Bottom