Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tukio limefanywa na mtu afu akafuta usajili…..sasa ndo nikawa nawaza apa je, mpelelezi akienda kwenye mitandao ya simu hatokuta taarifa zake?Lazima kumbukumbu ziwepo tu
Kama ingekuwa ukifuta usajili data zinapotea basi hata matukio ya kihalifu yangeongezeka sana maana wangekuwa wanapiga tukio then wanafuta usajili tu kupoteza ushahidi
Hata inapotokea umefuta usajili then akaja mtu akasajili akauziwa namba yako bado kuna data zinabaki kwamba wewe ulishakuwa mmiliki wa namba ile nadhani hiyo itadumu kwa kipindi fulani kabla ya kupotezwa kwenye system
Wanaofuta taarifa zako ni watu wa mtandao husika sio wewe na kutakuwa na muda maalum wa kukaa na taarifa zako kabla ya kuzifuta lazima kunamuuongozoKuna tukio limefanywa na mtu afu akafuta usajili…..sasa ndo nikawa nawaza apa je, mpelelezi akienda kwenye mitandao ya simu hatokuta taarifa zake?
iko hivi hata ukifuta usajili bado data zako zinabaki na line itaonekana kwamba bado wewe ni mmiliki halali wa line ile japokuwa kikawaida utaona umeifutia usajili hii ni ishu ya kiusalama sana sana watakaa na data zako kwa kipindi cha miezi 6 au zaidi kabla ya kuziondoa lakini still bado zinaweza kuhifadhiwa data maalumu kwa mfano sms zako au calls record zako ili hata kama ikitokea jambo huko mbele likahitaji upelelezi upande wa mtandao basi wanafanya kurejea hukoKuna tukio limefanywa na mtu afu akafuta usajili…..sasa ndo nikawa nawaza apa je, mpelelezi akienda kwenye mitandao ya simu hatokuta taarifa zake?
Wewe hofu yako ni nini kwenye umiliki wa lainiYaani mfano…mtu akisajili laini then akaamu KUFUTA usajili.
Je, records zinabaki kwamba Hii laini ilitumiaka na mtu fulani kusajiliwa au?