sinachangu
Member
- Nov 4, 2014
- 47
- 17
- Thread starter
- #21
Lakin kama huhawah shiriki ngono ya aina yoyote tangu ubalehe haiwezekani
Inawezekana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakin kama huhawah shiriki ngono ya aina yoyote tangu ubalehe haiwezekani
Inawezekana!
kuna uwezekano tena mkubwa tu but according ninavyoelewa mimi,,,,kwa mfano kama ugonjwa wa zinaa uitwao candidiasis waweza pata whithout sex kwa sababu kuna wadudu walinzi wa magonjwa kwa mfano kuna commensal mmmoja anaitwa normal flora ambaye anaprotect from infection,,,,,so kuna sababu ambazo zinaweza kuchangia kwa huyu mdudu ambaye ni mlinz wa gonjwa la zinaa akabadilika akawa amebadilika akausababishia ugonjwa bila sex....mojawapo ya sababu zinazosababisha huyo mdudu achange ni kama @.local changes to the vaginal immunity kwa mwanamke @immunosuppresant disease or treatment eg AIDS,chemotherapy @Drug therapy eg antibiotics @Endocrine disease eg diabbetic mellitus @Physiological changes@Miscellaneous disorders eg Iron deficiency...kwa ushari uwe unapima mara kwa mara.ASANTE
Je ushawahi kuugua kutokana na kufanya ngono? Kama ulishawah kufanya ngono ukaupata then ukatibiwa halafu umejirudia tena pasipo kufanya ngono inawezekana mkuu
Haiwezekani ukawa umepata gonjwa la zinaa mara mbili bila kufsnya ngono, labda unachopata ni UTI hii ni invection ya kibofu cha mkojo, wanawake wanapataga hii kwa urahisi zaidi. Symptoms zake ni kama za ugonjwa wa zinaa, maumivu wakati wa kukujoa, maumivu ya tumbo etc.Urinary Tract Infections (UTIs) Causes, Symptoms, Treatments
Inawezekana kwa njia ipi mkuu
Yes inawezekana, kuna baadhi ya magonjwa ni rahisi sana kuambukiza mfano Herpes!
1. Kwa njia ya kugusana, kuminya, kushika vidonda vya mgonjwa.
2. Kwa njia ya kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
3. Kwa njia nesi mwenye tatizo hilo kwenda kwa mgonjwa wakati akimtibu hasa kujifungua.
4 Kwa njia kujifutia taulo la mwadhirika hasa taulo likiwa bichi.
5. Kwa njia ya kurikiana mswaki. Nk, nk, nk
Zote hizo ni njia ambazo unaweza kupata ugonjwa wa zinaa bila kuzini
Inawezekana kwa njia ipi mkuu
Je agent anae sababisha huo ugonjwa ni free organism au ni tissue dependant? Kama ni free organism inawezekaUnaweza kupata kwa njia ya kukalia kiti cha aliye athirika.Namaanisha kwa wadada endapo mwenzako amekalia kiti then akakiacha na wewe ukakikalia kikiwa bado na jotojoto wadudu husambaa kwa haraka sana na ukapata huo ugonjwa tuwe makini japo ni ngumu.
Je agent anae sababisha huo ugonjwa ni free organism au ni tissue dependant? Kama ni free organism inawezeka
Dah Sasa mambo ya kwenye daladala si itakuwa hatariUnaweza kupata kwa njia ya kukalia kiti cha aliye athirika.Namaanisha kwa wadada endapo mwenzako amekalia kiti then akakiacha na wewe ukakikalia kikiwa bado na jotojoto wadudu husambaa kwa haraka sana na ukapata huo ugonjwa tuwe makini japo ni ngumu.