Je, mtu anaweza ambukizwa magonjwa ya zinaa bila kufanya ngono?

Haiwezekani ukawa umepata gonjwa la zinaa mara mbili bila kufsnya ngono, labda unachopata ni UTI hii ni invection ya kibofu cha mkojo, wanawake wanapataga hii kwa urahisi zaidi. Symptoms zake ni kama za ugonjwa wa zinaa, maumivu wakati wa kukujoa, maumivu ya tumbo etc.Urinary Tract Infections (UTIs) Causes, Symptoms, Treatments
 
Asante. Nitakuwa napima mara kwa mara kama ulivyonishauri.
 
Je ushawahi kuugua kutokana na kufanya ngono? Kama ulishawah kufanya ngono ukaupata then ukatibiwa halafu umejirudia tena pasipo kufanya ngono inawezekana mkuu

Niliugua lakini si kwa kufanya ngono. Nikatibiwa. Sasa hivi ndio nimepima nimeambiwa nina gonjwa la zinaa hali yakuwa sikufanya ngono.
 
Yes inawezekana, kuna baadhi ya magonjwa ni rahisi sana kuambukiza mfano Herpes!
1. Kwa njia ya kugusana, kuminya, kushika vidonda vya mgonjwa.
2. Kwa njia ya kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
3. Kwa njia nesi mwenye tatizo hilo kwenda kwa mgonjwa wakati akimtibu hasa kujifungua.
4 Kwa njia kujifutia taulo la mwadhirika hasa taulo likiwa bichi.
5. Kwa njia ya kurikiana mswaki. Nk, nk, nk

Zote hizo ni njia ambazo unaweza kupata ugonjwa wa zinaa bila kuzini
 
Asante.
 
Inawezekana kwa njia ipi mkuu

Unaweza kupata kwa njia ya kukalia kiti cha aliye athirika.Namaanisha kwa wadada endapo mwenzako amekalia kiti then akakiacha na wewe ukakikalia kikiwa bado na jotojoto wadudu husambaa kwa haraka sana na ukapata huo ugonjwa tuwe makini japo ni ngumu.
 
Je agent anae sababisha huo ugonjwa ni free organism au ni tissue dependant? Kama ni free organism inawezeka
 
Kwa uwelewa wangu Mdogo microbes anaetegemea tissue kuendesha maisha yake hawezi kukaa nje ya tissue then akawa transmitted to another person
 
Kama ugonjwa utakua unasababishwa na free organism basi inawezeka kama alivyosema binti wa mfalme
 
Unaweza kupata kwa njia ya kukalia kiti cha aliye athirika.Namaanisha kwa wadada endapo mwenzako amekalia kiti then akakiacha na wewe ukakikalia kikiwa bado na jotojoto wadudu husambaa kwa haraka sana na ukapata huo ugonjwa tuwe makini japo ni ngumu.
Dah Sasa mambo ya kwenye daladala si itakuwa hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…