Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?

Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu kuzaliwa kwake.

Je, Ni kweli Yesu kampiga gap la Miaka zadi ya 500 Mtume Mohamad?

Kwa Ufupi Mohamad ni Mdogo sana kwa Yesu au imekaaje?
 
Usimfananishe Yesu Kristo na Huo Upuuzi Mzee.

Usimfananishe Mwana wa Mungu na mfuga Majini
 
Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?

Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu kuzaliwa kwake.

Je, Ni kweli Yesu kampiga gap la Miaka zadi ya 500 Mtume Mohamad?

Kwa Ufupi Mohamad ni Mdogo sana kwa Yesu au imekaaje?
Wako sawa kiumri maana nakumbuka walicheza Chandimu pamoja, yesu alikuwa golikipa.
 
Back
Top Bottom