guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi za kufuatwa kwa mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu?
Je, anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?
Je, anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi za kufuatwa kwa mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu?
Je anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?
Watumishi mmekuwa tatizo na nyie kila kukicha mara posho, mara kupandishwa cheo na vingine hii nchi ni yetu sote serikali haipo kuwaangalia nyie tu, mmekuwa kama watoto wa mwisho kuzaliwa mnavodeka.Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi za kufuatwa kwa mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu?
Je anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?
Je kama una mkopo Bank? Na unataka kuacha kazi kwa Utaratibu huuSiyo miezi 3 lakini hata ndani ya saa 24 lakini utawalipa mshahara wao wa mwezi mmoja.
Ila ukitoa notice ya muda wa kutosha hutawalipa mshahara wao.