Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
So what!Sema ninachomkubari jamaa huyu pamoja na uzumbukuku wake wote na kujitia comedian jamaa ameenda shule yaan amesoma na mimi mtu yoyote ambae shule imelala kichwani hata km anafanya utoto kiasi gani hatua ya mwisho ninayoichukua sio kumdharau bali kumuheshimu na halafu mbaya zaidi ni mbongo kabisa huyo dogo kazaliwa Dar-es-Salaam
Naishia hapo
Mimi naamini kwamba.....Sema ninachomkubari jamaa huyu pamoja na uzumbukuku wake wote na kujitia comedian jamaa ameenda shule yaan amesoma na mimi mtu yoyote ambae shule imelala kichwani hata km anafanya utoto kiasi gani hatua ya mwisho ninayoichukua sio kumdharau bali kumuheshimu na halafu mbaya zaidi ni mbongo kabisa huyo dogo kazaliwa Dar-es-Salaam
Naishia hapo
Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa mwili uliokibeba, elewa neno 'kichwa kisicho na akili'Mimi naamini kwamba.....
Akili isio na manufaa, nisawa na ujinga.
In fact with no united and vibrant oppositions in Uganda, CDF.Gen. Muhoozi Kainerugaba can easily take power from his father and rule Ugandans as he wishes, and nothing will happen 🐒View attachment 3619391
Kwa sasa, hakuna mtu mwenye kusikika na kusababisha utata kama mwana wa mfalme Muhoozi Keinerugaba. Anakamata wale wanaopinga. Anafungia vyombo vya habari. Anatoa matamshi kana kwamba yeye ndiye rais. Je, hii nguvu kaipata wapi? Je, kuna kitu anakijua kuhusiana na afya ya baba yake ambacho wengi hawajui? Je, baba yake ameamua kumpa ukanda na kupima maji tayari kwa kumuachia mamlaka? Maswali ni mengi kuliko majibu.