Mwanaume atamwacha baba na mama yake, wataungana na mkewe kuwa mwili mmoja! Sasa nyie wazazi ndugu viherehere vya nini kuwaingilia wanandoa?Unakuta Mume au Mke anahitilafiana na ndugu au hata Wazazi wake, lakini unakuta Mume au Mke bila kujali kama kosa ni la mwenza wake basi nae anaunga tela na kukosana na hao Wakwe/Shemeji zake.
Hivi haiwezekani Mume au Mke kuonyesha msimamo tofauti haswa kama tatizo lililopo chanzo ni huyo Mwenza wake?.
Actually sio kuingilia, ngoja nitoe mfano...Baba na Mwanae wanabishana juu ya jambo fulani...mathalani Baba anataka Mtoto wake ajenge kwanza, lakini Mtoto anadhani muda bado atajenga huko baadae, bifu linakuwa kubwa mpaka Baba akipiga simu Jamaa hapokei.Mwanaume atamwacha baba na mama yake, wataungana na mkewe kuwa mwili mmoja! Sasa nyie wazazi ndugu viherehere vya nini kuwaingilia wanandoa?
Mara nyingi mwanaume bwege ndy anakuwa wa namana hiyo,,Unakuta Mume au Mke anahitilafiana na ndugu au hata Wazazi wake, lakini unakuta Mume au Mke bila kujali kama kosa ni la mwenza wake basi nae anaunga tela na kukosana na hao Wakwe/Shemeji zake.
Hivi haiwezekani Mume au Mke kuonyesha msimamo tofauti haswa kama tatizo lililopo chanzo ni huyo Mwenza wake?.
Kila mwamba ngoma anavutia kwake.Mara nyingi mwanaume bwege ndy anakuwa wa namana hiyo,,
Kudhihirisha ubwege wake..ktk ndoa au mahusiano..
Nadra Sana kukuta mwanamke wa hivyo.