Je, Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?

Je, Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?

===========================
Update: 14/01/2024

Ulimwengu ni ni kila kinachoweza kuwepo combined. Ni totality ya everthing that is.
What about the materials which God used to create whatever that exists....je alitoa wapi hizo materials?

Some questions are beyond human comprehension. Hauwezi kuelewa kwa sasa kuhusiana na swali lako. Ni sawa na swali na Mungu alitoka wapi? No mortal being can fathom the truths thereof.

All i know ni kuwa mazingira yananipa ushahidi madhubuti wa uwepo wa Mungu. Na whatever alichokisema Mungu kwenye Scriptures kuhusu namna alivyoumba ndiyo information pekee tuliyonayo kwa sasa. Beyond that hakuna majibu.

Mungu ndiye ajuaye wakati anaumba aliumbaje umbaje...na haku reveal hiyo information kwetu. When we get to heaven utamuuliza hili swali na mengine mengi...bila shaka utajibiwa.
 
Sawa, ila bado tungependa kujua
 
Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
MUNGU alikuwaepo kabla ya hiyo ''Kabla'' kuwepo. Pili MUNGU hana nafasi kwa hivyo huwezi kumpa specific location, ukimpa specific location tayari umeshamlimit. MUNGU ni mmoja hagawanyiki, yeye ndiye mwanzilishi na mmiliki wa kila jambo, hana mshirika katika utendaji wake, hana mwanzo wala hana mwisho,, hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hana mfano wowote na pia hafananishwi na chochote.
 
Mungu hawezi kuumba wala kufanya chochote.
Mungu hayupo.
Binadamu ndiye alimuumba Mungu kwenye fikra zake.
Ahsante kwa majibu mazuri, hii ina maanisha kwamba Mwanaadamu mwenyewe hawezi kujitegemea, kama mwanaadamu kajipa fikra ya kuwa kuna MUNGU, bila shaka huyu mwanaadamu tayari ameshajitweza nguvu na kukubali kwamba kuna ambaye ni mjuzi wa kila kitu na kuna ambaye amemuumba ndio maana anamtafuta na kumjengea fikra kichwani mwake.

Kusingekuwa kuna MUNGU mwanaadamu asinge hangaika kumtafuta, lakini kwakuwa akili ya mwanaadamu haipati majibu kwa baadhi ya mambo ndio maana inamtafuta na kumfikiri MUNGU ambaye ana majibu ya kila kitu. Kwa hivyo hoja yako ni dhaifu, bila shaka MUNGU yupo na ndio maana akili inamtafuta, na yeye ndiye muumba wa kila kitu ikiwemo mwanaadamu.
 
What about the materials which God used to create whatever that exists....je alitoa wapi hizo materials?

Some questions are beyond human comprehension. Hauwezi kuelewa kwa sasa kuhusiana na swali lako. Ni sawa na swali na Mungu alitoka wapi? No mortal being can fathom the truths thereof.

All i know ni kuwa mazingira yananipa ushahidi madhubuti wa uwepo wa Mungu. Na whatever alichokisema Mungu kwenye Scriptures kuhusu namna alivyoumba ndiyo information pekee tuliyonayo kwa sasa. Beyond that hakuna majibu.

Mungu ndiye ajuaye wakati anaumba aliumbaje umbaje...na haku reveal hiyo information kwetu. When we get to heaven utamuuliza hili swali na mengine mengi...bila shaka utajibiwa.
Barikiwa sana
 
Mambo yake mwachie mwenyewe
Cc Smart911

Na Kama unaona hutaki kuishi kwenye mazingira aliyotengeneza Basi jikatae nenda unapoona NI sahihi KWAKO sisi tumeridhika na malocation take oya wanangu kuleni bia
Unaendeleaje na ulevi? Umeweza kupunguza? Kama bado nambie nitakupa msaada namna tofauti tofauti za jinsi ya kuacha ulevi.
 
Back
Top Bottom