Je, Mungu ni muweza wa yote?

Kila mtu aamini Mungu wake ila asipangie watu kuishi maisha based on fulani kakutana na huyo Mungu ambae wote hatuna uhakika
Boss, Tanzania tunaongozwa na sheria za nchi sio za imani au dini fulani. Hakuna imani ya mwingine inayoweza kukupangia namna ya kuishi unless mtu awe zezeta asiyejielewa.
 
🤣Bac dini zote zipo katika fikra
Kabisa. Dini ni fikra. Concept ya dini ipo kwenye ulimwengu wa fikra ila mhusika anaileta katika maisha halisi.

Dunia ina mambo mengi mno ambayo sayansi bado haijaweza kuyafikia. Binafsi naamini katika sayansi ila sipuuzi lolote nisilolielewa, naliheshimu na kuliacha kama lilivyo.

Kuna mtu aliniuliza, chukulia ubongo kama simu halafu fikra kama taarifa zilizohifadhiwa kwenye simu halafu jiulize inapoharibika beyond repair, zile taarifa zako zinakuwa nazo zimeharibika au kuna sehemu zipo ila namna ya kuzifikia ndo tatizo? Nikamwambia zinaharibika, akajibu hapana, taarifa zipo salama kabisa illa kuzifikia ndo tatizo, na tuendako huenda tech inaweza kuzipata taarifa za simu yako iliyoharibika bila kutumia simu yako. Nikaona sielewi nikaachana nayo.

Mtu umelala ila unaota upo unakimbia, na wakati wa ndoto everything is so real but mwili wako umelala hapo, what if kifo ni kuharibika kwa mwili na kuota pasipo kuamka?

Tutasema ndoto inaanzia kwenye ubongo na ubongo ukifa huoti, but tuna uhakika 100% kuwa fikra zinakufa na mwili? Mwisho wa ubongo ndo mwisho wa fikra? What if fikra zipo na zinaendelea kuwepo ila kuzifikia ndo tatizo?

Kuna watu dunia hii wana tatizo la imagination, wanaongea na watu wasio kuwepo, wanakimbia hatari isiyokuwepo, wanafurahia furaha isiyokuwepo, Sisi wengine tunaona ana tatizo, ila ukijiuliza huyu mtu ni kweli anaona hivyo anavyoviona?

Kama jibu ni ndio inamaana kwenye ulimwengu wake anavyoviona vinaexist ila wengine sababu hatuvioni basi tunasema ana tatizo.

Kwa ufupi tu, jambo la mwingine usilolielewa ni kuliacha kama lilivyo na kuendelea na yale tunayoyaelewa unless huyo mtu anajaribu kuingilia uhuru wako na jambo lake.
 
Aya
 
Reactions: Tsh
Believers are very good at prolonging stories because they like preaching,

My question is short and understandable,

Your answer becomes long to the extent of being verbose and lacking the logic of what I asked.

There is no obligation for a non-believer in God/gods to necessarily be able to profess science.

Long explanations without a good flow lose the true meaning of what you intended to convey.

I asked you very simply:

Is it true or not true when you say God can't be tested!?

Or do you not know that there is true and false belief?


How do you know for sure that God exists and that his essence cannot be grasped perfectly?"

Can you prove that God exist?
 
I am telling you the bitter truth.
I don't expect or demand you to agree, I will not debate any personal beliefs.
I tell no one (even you) what to believe, that's your prerogative
I told you, for me belief ain't essential.

You are allowed to believe anything, even if you believe a spoon created the universe... No problem.

But if you come to a public forum like JF and start spreading your belief as absolute truth, then I am allowed to question your belief.

I don't even know if you understand me!?
 
Do you understand immanent critique in the debate?

 
Je, Wewe ulikula huo mti wa ujuzi wa mema na mabaya? Hii inawezekana vipi? Kosa la mtu mwingine upewe na wewe? Je na kwa wanyama? Hapa Tumepigwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…