Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ukitafakari bila woga wala uzwazwa dhana mbili yaani mungu na shetani, unagundua yafuatayo:
Mosi, wote wawili waliumbwa au kufinyangwa na binadamu.
Pili, shetani ana nguvu sana kuliko mungu.
Tatu, shetani ana akili sana kuliko mungu. Kwa sababu, pamoja na kupigwa vita na kila mmoja, hana mtetezi kama mungu alivyo na bado ana nguvu na anatisha.
Nne, mungu na shetani wote ni wakatili. Shetani anasababishe uingie motoni na mungu anakuchoma motoni.
Tano, wote ni woga kwa kiasi fulani, kwani hawajawahi kuonekana.
Sita, bila imani siyo uhakika wala ushahidi, ngano, visa, uongo na vitisho, wawili hawa hawajawahi kuwapo.
Saba, shetani anawapenda wanawake na mungu anawachukia wanawake. Nane, shetani na mungu wote ni wanawake.
Tisa, shetani na mungu na dini mbili yaani wote ni waislam na wakristo.
Kumi, wote wanapenda ngono.
Kumi na moja, wote ni wadandiaji kwani, bila kumtumia binadamu, hakuna wanachoweza.
Kumi na mbili, wawili hawa wanapenda kutawala wenzaona lao ni moja ukiachia mbali kuwa wote ni mapacha na baba yao ni mzungu na mama yao ni mwarabu.