Je! Mungu ni yule yule?

Huwezi kutaka nikujibu wewe tu, hata baada ya kukujibu mara lukuki.

Utaonekana unatumia mbinu tu ya kukataa kujibu.
Ok,ngoja niassume umenijibu,je umenijibu wapi?
Kwanini usinioneshe ni hapa au pale au kule?
Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?

Kama hakuna kinachoweza kuthibitishwa, that is an even worse indictment to the idea that god exists. It is not a vindication.
Sawa inawezekana,lakini vipi kuhusu anaeuliza kuhusu kisichowezekanika kuthibitishwa?

Halafu ni kwanini hakuna kinachowezekana kuthibitishwa?

Yaanbi ni rahisi sana,yaani huwezi hata kuthibitisha kuwa hapo ulipo hauoti......

Je hilo ni tatizo la nini/nani na kwanini?
 
Suala la mungu ni suala lenye kuhitaji imani, na suala zima lilivyo hapa ni hoja zipi zitafanya ukubali kuamini kuwa kuna mungu. Sasa anapotokea mtu na kudai kuwa hakuna mungu na kutaka athibitishiwe uwepo wa mungu nje ya imani,ni wazi huyo mtu hajui anachokitaka.
Kibaya zaidi huyo mtu ambaye hataki suala la imani,hutoa visababu vya kupinga uwepo wa mungu kwa kujenga hoja kwa jambo lenye kuhitaji imani.
 
Uko vzr sana The Meek, God bless you brother (naamini you are a Man)
.
 
Swali langu kwa Kiranga na wote msioamini uwepo wa Mungu, NINI CHANZO CHA UHAI?

Pia unapotaka mtu athibitishe uwepo wa Mungu, unataka akamshike Mungu mkono akuletee au? maana kila jibu unalopewa unakataa.
 
Unaweza kuthibitisha mungu yupo?

Jibu "Naweza" au "Siwezi".
 
Tusipotumia akili tutumie nini mkuu
 
Naona watu wako na mzee wa ligi hapa na naona mmoja mmoja anamuacha maana hata ukijibu unakuwa unafanya kazi bure tu maana atakuja kuuliza swali lile lile tena huko mbeleni......

Kaazi kweli kweli.....

Mzee wa ligi yupo na wimbo wake "thibitisha" hiyo ndio chorus ya wimbo wake ni kama kasuku...

Lazima umuache wimbo wake wa " bado hujathibitisha" hiyo ndio default position yake mtaenda baadae anarudi default position yake...
Mpeni majibu ya maswali yake sio nnaaza kufarijiana
 
Mkuu kati ya siku nimekuelewa basi ni leo kwenye hili bandiko lako.
Kwamba huwezi kuthibitisha kitu kisichokuwepo ila unathibitisha kilichopo hii imenikaa akilini haswaa.
Asante sana
Mkuu wengine hawa wengine wapo wapo tu kama maboga
 
Wee mtoto wa muhammad una utindio wa ubongo sio bure
 
Anajenga hoja baada ya ninyi kusema yupo
 
Mkuu wengine hawa wengine wapo wapo tu kama maboga

Wee mtoto wa muhammad una utindio wa ubongo sio bure
Hivi hauwezi kuchangia bila kutukana watu!? Vinginevyo utakuwa ni wa kupuuzwa au unataka kuonekana na wewe humo unachangia? Na kuongeza idadi ya post

Licha ya hivyo haina ulazima wa kujibizana na wewe ambaye unajua mtu akishindwa kuthibitisha kitu basi hakipo, endelea na imani yako ya hakuna Mungu na wengine waache na imani yao
 
Kwahiyo hujaona matusi aluyomwaga hapo huyo muumini mwenzako sio? Endelea kujitoa ufahamu
 
Sasa mimi sitaki kuamini nataka kuelewa, kama unao uthibitisho uweke ili nipate kuelewa
 
mpigie simu muulize kama kabadilika! au kamuulize mtume wako
 
Swali jingine! Unaamini vipi kama kuna binadamu au wanyama au kitu chochote duniani. au unaamini vipi kama upo. Je kama upo katika ndoto na vitu vyote uonnavyo ni vya kusadikika!, inawezekana hata swali ulilouliza ni la kusadikika pia. sasa kwa kuwa huenda unaota, ndoto huwa hazina majibu sahihi. endelea kuota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…