Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
- Thread starter
-
- #21
Mtu akinambia kwamba "Viumbe hai hawatumii oxygen" lazima aniambie wanatumia nini!Hawapaswi na hakuna ulazima huo.
Kama bado haijulikani au hujui chanzo cha Ulimwengu au hujui jambo lolote hakuna tatizo na wala sio dhambi kusema HUJUI.
Mkuu me Nipo hapa nachukua notesNitaishi nao, sijibu kwa imani, nitawajibu kwa science ambayo wamekuwa wakiiamini.
Kuna atheists wengi tu hawajui chochote kuhusu Sayansi.Logically, Atheists wote hutumia science kupinga uwepo wa mungu. Lakini sasa ni sayansi ambayo inathibitisha uwepo wa Mungu.
Kasome tena historia, Atheism imekuja juzi tu. Ila binadam wameanza kuamini mungu miaka nenda rudi.binafsi hilo neno atheism sijui lilipo toka wala lina maana gani, ila kama ni kukubali habari za MUngu na kuzipinga vitu hivyo vilianza almost kwa pamoja kama kulwa na doto
Karibu mkuu, nipo hapa kutema nondoMkuu me Nipo hapa nachukua notes
historia ya nani mkuu, hebu nipe hints kwanza atheism imeanza mwaka gani na muanzilishi nani?Kasome tena historia, Atheism imekuja juzi tu. Ila binadam wameanza kuamini mungu miaka nenda rudi.
Atheist ambae hajui sayansi kisha anapinga uwepo wa Mungu ni limbukeni, kwa maana anapinga kwa hisia.Kuna atheists wengi tu hawajui chochote kuhusu Sayansi.
Sayansi inathibitishaje uwepo wa mungu na inathibitisha uwepo wa mungu
Mtu akikuambia viumbe hai wanatumia Nitrogen dioxide na wewe hujui kama viumbe hai wanatumia Oxygen unatakiwa ufanyaje?Mtu akinambia kwamba "Viumbe hai hawatumii oxygen" lazima aniambie wanatumia nini!
Ukiniambia viumbe hai wanatumia Nitrogen dioxide, itabidi afanye kitu kimoja kuthibitisha, kama ambavyo mimi nakuthibishia uwepo wa mungu.Mtu akikuambia viumbe hai wanatumia Nitrogen dioxide na wewe hujui kama viumbe hai wanatumia Oxygen unatakiwa ufanyaje?
Mtu akikuambia Donald Trump ndiye rais wa Malaysia na wewe humjui rais wa Malaysia unatakiwa ufanyaje?
Kiufupi Atheism imekuja kutokana ukuaji wa technology.historia ya nani mkuu, hebu nipe hints kwanza atheism imeanza mwaka gani na muanzilishi nani?
Bhebhe nang’o! Ukishajua utafanya nini?Kila kitu kina chanzo,je Mungu chanzo chake ni kipi?
mkuu ujasiri wa kuanzisha uzi umeutoa wapi?Kiufupi Atheism imekuja kutokana ukuaji wa technology.
huyu jamaa ameamua kuanzisha mada hii apate umaarufu tu hakuna kingine. Kama anaweza kujibu anijibu Mungu ni nani? thibitisha uwepo wake.historia ya nani mkuu, hebu nipe hints kwanza atheism imeanza mwaka gani na muanzilishi nani?
thibitisha sasa.Ukiniambia viumbe hai wanatumia Nitrogen dioxide, itabidi afanye kitu kimoja kuthibitisha, kama ambavyo mimi nakuthibishia uwepo wa mungu.
mkuu ye mwenyewe haelewi nini anaongea, we atakupa majibu gani unafikiri 😁huyu jamaa ameamua kuanzisha mada hii apate umaarufu tu hakuna kingine. Kama anaweza kujibu anijibu Mungu ni nani? thibitisha uwepo wake.