Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

jua,nyota na mwezi viliumbwa siku ya nne(kwa mujibu wa biblia)
siku tatu kabla mungu wako wa israeli alikuwa anaonaje wakati kulikuwa na giza?
Swali la kipuuzi sana hili, kwanza we unajua jua, nyota na mwezi vilikuwa wapi kabla ya kuumbwa??
 
Swali la kipuuzi sana hili, kwanza we unajua jua, nyota na mwezi vilikuwa wapi kabla ya kuumbwa??
sasa nani mpuuzi hapa!!!!!
niambie jua,nyota na mwezi vilikuwa wapi kabla havijaumbwa
 
Kikabwa naamini kilichoandikwa no matter nani kaandika
Shida ni kwamba kuna vitabu vimezuiwa kuwekwa kwenye bible kisa tu waandishi wake wana utata mfano kitabu cha Henoko au Injili ya Petro ama waraka wa paulo kwa wakaldea n.k huoni kuna double standards
 
Karibu sana mkuu Eiyer ni kitambo kidogo sijakuona jukwaani.....

Kwa ufahamu wangu uandishi wa vitabu vya Biblia umepewa na watu NJE YA BIBLIA ila kwenye biblia kuna vitabu vichache ndio vimeonyesha muandishi wa kitabu husika ni yupi??
Ahsante sana mkuu nishakaribia na naendelea kumshukuru Mungu kwa baraka na ulinzi wake kwetu....

Sasa mkuu kama sisi wasomaji ndio tunasema kuwa kitabu fulani kwenye biblia kimeandikwa na fulani na si kitabu chenyewe kinasema hivyo,sioni kama hata ni ishu ya maana kihivyo kwaababu msingi wake hauko kwenye maandiko yenyewe...

Jambo hili ninalifananisha na lile la kuhusu miaka ya dunia kwa wale wanaodai ni kwa mujibu wa biblia.Wengi wanadai umri wa dunia ni miaka 6,000 wakati biblia haijawahi kusema hivyo na ukiangalia muda huu kimsingi kwangu mimi naona si sahihi kabisa...

Jambo hili nalikataa kwasababu zaidi ya moja na hata mazingira naona kama hayarandani na jambo hili,nisiingie ndani sana kwenye hili kwasababu nalo ni mada kabisa,lakini ukweli ni kwamba suala hili na hili la nani kaandika kitabu gani nalo li yale yale tu...

Maoni ya watu yaendelee kuwa maoni ya watu na biblia iachwe kama ilivyo..
 
Ahsante sana mkuu nishakaribia na naendelea kumshukuru Mungu kwa baraka na ulinzi wake kwetu....

Sasa mkuu kama sisi wasomaji ndio tunasema kuwa kitabu fulani kwenye biblia kimeandikwa na fulani na si kitabu chenyewe kinasema hivyo,sioni kama hata ni ishu ya maana kihivyo kwaababu msingi wake hauko kwenye maandiko yenyewe...

Jambo hili ninalifananisha na lile la kuhusu miaka ya dunia kwa wale wanaodai ni kwa mujibu wa biblia.Wengi wanadai umri wa dunia ni miaka 6,000 wakati biblia haijawahi kusema hivyo na ukiangalia muda huu kimsingi kwangu mimi naona si sahihi kabisa...

Jambo hili nalikataa kwasababu zaidi ya moja na hata mazingira naona kama hayarandani na jambo hili,nisiingie ndani sana kwenye hili kwasababu nalo ni mada kabisa,lakini ukweli ni kwamba suala hili na hili la nani kaandika kitabu gani nalo li yale yale tu...

Maoni ya watu yaendelee kuwa maoni ya watu na biblia iachwe kama ilivyo..
Nashukuru mkuu kwa clarification zako ila usiende mbali sana kuna mada controversial kidogo nimeandaa ila bado haijaachiwa nmekutag uje utoe darasa kidogo.
 
biblia yako imejaa upuuzi wa kutosha



YEHOVA ARUHUSU WATU KULA WATOTO WAO

Kumbukumbu la Torati 28:53

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.



YEHOVA KUWAPAKA MAVI MAKUHANI

Malaki 2:1-3

2 Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia moyoni, ili kulitukuza jina langu, asema Bwana wa majeshi, basi nitawapelekeeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni.

3 Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya vyakula vyenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo



YESU AWAAMBIA WAFUASI WAKE WANUNUE MAPANGA

Luka 22:36

Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.











YEHOVA HATAKI BINADAMU AJUE MEMA NA MABAYA

Mwanzo 3:22

Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”



YEHOVA AUA HALAIKI NA KUWAACHA BIKRA

HESABU 31:15-17

15 Kwa hiyo Musa akawaambia: “Je, mmemhifadhi hai kila mwanamke?+ 16 Tazama! Hao ndio, kupitia kwa neno la Balaamu, waliowashawishi wana wa Israeli kukosa uaminifu+ kwa Yehova juu ya lile jambo la Peori,+ hivi kwamba tauni ikaja juu ya kusanyiko la Yehova.+ 17 Na sasa ueni kila mtoto wa kiume, na kumuua kila mwanamke ambaye amefanya ngono na mtu kwa kulala na mwanamume



YEHOVA ATAKA WATU WATII SERIKALI HATA KAMA HAIKUCHAGULIWA NA WATU

Warumi 13

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.





YEHOVA MUASISI WA MFUMO-DUME

1 timotheo 2:11-12

11 Mwanamke na ajifunze akiwa kimya na kwa kujitiisha kikamili.+ 12 Simruhusu mwanamke kufundisha,+ wala kuwa na mamlaka juu ya mwanamume,+ bali kuwa kimya.



YEHOVA,MUASISI WA UTUMWA

Mwanzo 9:25-27

25 Basi akasema:“Alaaniwe Kanaani.

Na awe mtumwa wa hali ya chini kabisa kwa ndugu zake.”26 Naye akasema tena:“Abarikiwe Yehova, Mungu wa Shemu,Kanaani na awe mtumwa wake. 27 Mungu na ampe Yafethi nafasi ya kutosha,Akae katika mahema ya Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake pia.”



PONOGRAFIA NDANI YA BIBLIA

Ezekieli 23:20

Aliwatamani sana wanaume wenye uume kama wa punda na manii kama farasi dume.”













YEHOVA BINGWA WA KUKOMOA NA KUTESA

Kumbukumbu la torati 28:28-35

28 Yehova atakupiga kwa wazimu+ na kupoteza uwezo wa kuona+ na kuchanganyikiwa kwa moyo.+ 29 Nawe kwa kweli utakuwa mtu anayepapasa-papasa katikati ya mchana, kama vile kipofu anavyopapasa-papasa gizani,+ nawe hutafanya njia zako zifanikiwe; nawe utakuwa mtu tu ambaye sikuzote hupunjwa na kunyang’anywa, pasipo mtu wa kukuokoa.+ 30 Utamchumbia mwanamke, lakini mwanamume mwingine atamlala kinguvu.+ Utajenga nyumba, lakini hutakaa ndani yake.+ Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutaanza kutumia matunda yake.+ 31 Ng’ombe-dume wako atachinjwa hapo mbele ya macho yako—lakini hutakula sehemu yoyote yake. Utanyang’anywa punda wako mbele ya uso wako—lakini hatarudi kwako. Kondoo wako watapewa adui zako—lakini hutakuwa na mwokozi yeyote.+ 32 Wana wako na binti zako watapewa watu wengine+ na macho yako yakitazama na kuwatamani sikuzote—lakini mikono yako itakuwa haina nguvu.+ 33 Mazao ya udongo wako na mazao yako yote yataliwa na watu ambao hukuwajua;+ nawe utakuwa mtu aliyepunjwa na kupondwa sikuzote.+ 34 Nawe utatiwa wazimu kwa kuona kwa macho yako mambo ambayo utaona.+ 35 “Yehova atakupiga kwa jipu hatari kwenye magoti yote mawili na miguu yote miwili, ambalo hutaweza kupona, kutoka wayo wa mguu wako mpaka utosi wa kichwa chako













YEHOVA AHAMASISHA WATU WAPIGANE

Kumbukumbu la torati 25:11

11 “Ikiwa wanaume wawili watapambana pamoja, na mke wa mmoja awe amekuja karibu ili kumkomboa mume wake kutoka mkononi mwa yule anayempiga, naye ameunyoosha mkono wake na kumkamata sehemu zake za siri,+ 12 basi ukate mkono wa mwanamke huyo.



YEHOVA APANDISHA JAZBA,AUA WATOTO 42 PAPO HAPO

2 wafalme 2:23-25

3 Naye akapanda kutoka hapo mpaka Betheli.+ Alipokuwa akipanda njiani, tazama, palikuwa na wavulana+ wadogo waliotoka katika jiji, nao wakaanza kumdhihaki,+ wakazidi kumwambia: “Nenda juu, wewe kipara!+ Nenda juu, wewe kipara!” 24 Mwishowe akageuka nyuma, akawaona, naye akawalaani+ katika jina la Yehova. Ndipo dubu-jike+ wawili wakatoka katika vichaka, wakaanza kuwararua vipande-vipande watoto 42 kati yao.+ 25 Naye akaendelea kutoka hapo mpaka Mlima Karmeli,+ na kutoka hapo akarudi Samaria.



YEHOVA APITISHA ADHABU YA KIFO KWA MLEVI

Kumbukumbu la torati 21:18-21

“Ikiwa mtu atakuwa na mwana ambaye ni mkaidi na mwasi,+ awe hasikilizi sauti ya baba yake au sauti ya mama yake,+ nao wamemrekebisha bali yeye hawasikilizi,+ 19 baba yake na mama yake watamshika na kumtoa nje mpaka kwa wanaume wazee wa jiji lake na kwenye lango la mahali pake,+ 20 nao watawaambia wanaume wazee wa jiji lake, ‘Huyu mwana wetu ni mkaidi na mwasi; hasikilizi sauti yetu,+ ni mlafi+ na mlevi.’+ 21 Ndipo watu wote wa jiji watampiga kwa mawe, naye lazima afe.



YEHOVA ANYANYAPAA VILEMA,WENYE PUA PANA(KAMA zA WATU WEUSI)

Mambo ya walawi 21:17-23

17 “Sema na Haruni, na kumwambia, ‘Mtu yeyote wa uzao wako katika vizazi vyao vyote ambaye ana kasoro+ asije karibu ili kuutoa mkate wa Mungu wake.+ 18 Ikiwa kuna mtu yeyote mwenye kasoro, asikaribie: mtu aliye kipofu au kilema au mwenye pua pana au mwenye kiungo kimoja kilicho kirefu mno,+ 19 au mtu aliyevunjika mguu au aliyevunjika mkono, 20 au mwenye kijongo au aliyekonda au mwenye ugonjwa wa macho au mwenye vigaga au mwenye mba au aliyevunjwa mapumbu yake.+ 21 Mtu yeyote wa uzao wa Haruni kuhani ambaye ana kasoro hatakaribia ili kutoa matoleo ya Yehova kwa njia ya moto.+ Kuna kasoro ndani yake. Hatakaribia ili kuutoa mkate wa Mungu wake.+ 22 Anaweza kula mkate wa Mungu wake kutoka kati ya vitu vitakatifu zaidi+ na kutoka kati ya vitu vitakatifu.+ 23 Hata hivyo, hatakaribia pazia,+ wala hatakaribia madhabahu,+ kwa sababu kuna kasoro ndani yake;+ naye hatapatia unajisi patakatifu pangu,+ kwa kuwa mimi ni Yehova ninayewatakasa wao.



YEHOVA AFANYA MAUAJI YA HALAIKI,AUA WATOTO WACHANGA HADI WANYAMA

1 samweli 15:3

3 Sasa nenda, umpige Amaleki,+ umwangamize+ pamoja na vitu vyote alivyo navyo, usimhurumie, nawe uwaue,+ mwanamume na mwanamke, mtoto na mtoto anayenyonya,+ ng’ombe pamoja na kondoo, ngamia pamoja na punda.’



YEHOVA APATA KIU YA DAMU YA BINADAMU

Mwanzo 22:2

Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”



YESU AWATAKA WATUMWA KUTII MABWANA WAKATILI

1 Petro 2:18

18 Ninyi watumwa, watiini mabwana wenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wapole na wema peke yao, bali hata wale walio wakali.
Dah!!


Hii biblia iliandikwa na ngumbaro haswa.

Fungakazi ni kwa hao waliovunjwa mapumbu yao tu kwamba wasimsogelee Yehova!

Hahahaaaaa!!
 
Musa kabla ya kufa,,Mungu alimwambia aweke mikono kwenye kichwa cha Joshua(naamini unamjua) kwa kumuwekea mikono alimuachia Joshua sehemu ya roho yake..Kwa hio muendelezo wa kuandika aliufanya Joshua ambae pia kwa kuwekewa mikono na musa nae Alikuwa nabii na kiongozi na yote aliokuwa akiyafanya musa.

Hili halileti kubatilisha chochote katika biblia ila kuvifanya vitabu vyote kuwa sahihi na visivyo na shaka yoyote.
Labda kuna vitabu vya kutilia shaka kama kitabu cha Enoch,,injili ya barnaba,,sijui injili ya eva,,injili ya mkapa na injili nyingine mpya mpya za kuanzia 1900s.
 
Musa kabla ya kufa,,Mungu alimwambia aweke mikono kwenye kichwa cha Joshua(naamini unamjua) kwa kumuwekea mikono alimuachia Joshua sehemu ya roho yake..Kwa hio muendelezo wa kuandika aliufanya Joshua ambae pia kwa kuwekewa mikono na musa nae Alikuwa nabii na kiongozi na yote aliokuwa akiyafanya musa.

Hili halileti kubatilisha chochote katika biblia ila kuvifanya vitabu vyote kuwa sahihi na visivyo na shaka yoyote.
Labda kuna vitabu vya kutilia shaka kama kitabu cha Enoch,,injili ya barnaba,,sijui injili ya eva,,injili ya mkapa na injili nyingine mpya mpya za kuanzia 1900s.
Mkuu zunguka kote duniani utafahamu Genesis imeandikwa takribani 500 BC ilihali musa alishakufa tokea 1400 BC sasa mbona hushangai Musa baada ya kufa miaka 800 imepita ndio mwanzo kinaandikwa ila unashangaa book of Enoch kuandikwa miaka mingi baada ya Enoch mwenyewe kufa???

Mimi nachopinga ni selective judgement Yaani unakataa Book of Enoch kisa kimeandikwa late ila hukikatai Wimbo ulio bora au waraka wa waebrania ambavyo mpaka leo waandishi wake hawajulikani??

Kwanini mkuu tunafanya hizi double standards??
 
Back
Top Bottom