Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

Mpaka hapo kwa mawazo yangu nadhani muungano ubaki tu kwa raia, kila nchi ijimiliki yenyewe, ila sisi raia tuwe free na undugu wetu,
Zanzibar iwe na uhuru wake nasi Tanganyika tuwe na uhuru wetu
Mali ya zanzibar iwe yao hata kama ni kijiko
Vivyo hivyo nasi pia
 
Huu muungano ni mfano halisi wa maisha ya mtanzania
Maisha ya mtanzania hayaeleweki kuanzia siasa mpaka michezo
Ni kizungumkuti tupu
 
 
Hatuna Muungano. Ni wajanja wachache tu ndiyo wanajitahidi kuudanganya umma kuwa kuna Muungano lakini kiuhalisia haupo.
 
 
Tuna Serikali Mbili yani Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Serikali ya JMT ndo IPO Tanganyika ambayo viongozi wake ndo hao hao wa JMT, hapa Tanganyika inakosa mtetezi.
Zanzibar ina mtetezi wake ila Tanganyika hatuna, hapa hakuna Muungano. Kuna watu Wana maslahi yao katika Ili.
 
Hauna maana. Kuna siku tutazipata nati zilipo tutafungua. Either tufungue au tuungane mazima kwenye kila kitu.
Your browser is not able to display this video.
 
 
Kuna huyu mbunge wao anataka tuwe na passport tukitaka kuingia Zanzibar ila wao huku waje free πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚muungano wa kis**ge sana.
 
Vya kigezo cha kunguni na binadamu. Bara Binadamu na ZNZ kunguni, kazi yao kutunyonya damu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…