Je, Mvuto wa Kimwili au Akili: Nini Muhimu Zaidi Katika Kuchagua Mwenza?

Je, Mvuto wa Kimwili au Akili: Nini Muhimu Zaidi Katika Kuchagua Mwenza?

Nadhani ni sahihi kuwa na mtu mwenye maono kwenye urafiki, na hata kwenye ndoa

Though mwanamke mzurii pia ni chaguo sahihi,

Kuna tofauti ya mwanamke mzurii na mwanamke anayejiweka wa gharama ni vitu viwili tofauti,

Ukielewa hicho hakikupi shida

Kwani Hawa mabinti wenye hips nzuri makalio sura rangi wametoa wapi si kwa wazazi wao, hao wazazi walilipuka ?

Ishu ni kuepuka mwanamke wa gharama na matanuzi yasiyo na faida yoyote kwako,.

waweza kuwa na ambaye Hana mvuto na Hali ikawa ile ile.
 
Strong and Fearless Akili haitengenezeki lakini mwili unatengenezeka .Ipo hivi chukua mwenza mwenye akili alafu mtafute maisha mhudumie atanawili Hadi utashangaa mwenyew
"Hakuna mwanamke mbaya kama anapewa matunzo mazuri pia hakuna mwanaume asiye handsome kama pesa ipo " ukiangalia celebrities wengi na masupastaa wanatumia gharama nying na muda mwingi kuhudumia miili yao Ili waonekane vile walivyo unakuta mtu kaacha kula baadhi ya vyakula au hafanyi baadhi ya vitu Ili tu kuw na muonekano flani wanatoka nje huku SI tunawashangaa 🤣🤣🤣
Lakini akili huwezi kuifanyia diet it's a natural blessing vyakuongezea ni vitu vidogo vidogo tu.
Correct me if am wrong & like if am correct
 
Back
Top Bottom