Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
kabisa mkuuKweli kabisa! Mvuto wa kimwili unaweza kuwa wa kupita, lakini akili na tabia ndizo zinazoleta mafanikio katika uhusiano wa kudumu. Akili ndiyo msingi wa uchumba wa kweli.
Sawa, wewe utakuwa umechangia nini kwenye huo uchumi?Vyote kwa pamoja, itapendeza pia kuweka mvuto wa kiuchumi.
Ndiyo hii inayomponza dogo Haji Manara kuoa machangu kila kukicha kisha kuachana mtandaoni kwa kutoleana siri zao.Akili mtatumia akili mnemba