Kisabulo New Member Joined Dec 28, 2019 Posts 3 Reaction score 1 Apr 17, 2020 #1 Habari wakuu, Nahitaji msaada wa sheria. Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi. Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
Habari wakuu, Nahitaji msaada wa sheria. Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi. Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?