Je, Mwajiri kupunguza mshahara wa wafanyakazi bila majadiliano kipindi cha Corona. Sheria inasemaje?

Kisabulo

New Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
3
Reaction score
1
Habari wakuu,

Nahitaji msaada wa sheria.

Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi.

Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…