Je, mwaka huu hakuna Simba Day?

Nyie ndio wale mlioijua Simba kupitia kwa Manara na mpo wengi mpira hamjui mnajua maneno tu.

Wengine Simba tunaipenda tangu zamani manara nimemjua akiwa anakera tu.

Kuna watu kama Julio hawa walikuwa na utani wa kweli hadi yanga walikuwa wanafurahi sio hii kuzifanya timu maadui
 
sikuwahi kufikiria kama JF inaweza kuwa na watu wanafikiria kwa kiwango kidogo namna hiyo. Eti msemaji wa timu anaweza kuirudisha nyuma timu. Kuna baadhi ya wenzetu Akili matope kabisa
 
Habari wakuu,

Imezoeeleka miaka yote simba hufungua msimu na tukio babkubwa la simba day.

Mwaka huu sijasikia kitu kuhusiana na simba day, je simba day haipo mwaka huu?
Mudi kasema mwaka huu hakuna Simba day,pesa ya Simba day itaelekezwa kusaidia jamii zenye uhitaji maalum, OVER!
 
kuna tatizo mtu kujua na kuanza kuipenda simba kipindi cha manara?

wacha mawazo mgando
 
Simba wamchukue Emmanuel Mgaya ( Masanja Mkandamizaji ) achukue mikoba ya Manara .
 
Hapa naona pengo la wazi kabisa

Manara anajichukulia point 3

Utakuwa haupo serious wewe,Manara ndiyo alikuwa anaandaa Simba Day? Kwamba alikuwa anatoa yeye pesa mfukoni kwake kiasi kwamba sasa hayupo na hawezi toa pesa tena za maandalizi?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
sikuwahi kufikiria kama JF inaweza kuwa na watu wanafikiria kwa kiwango kidogo namna hiyo. Eti msemaji wa timu anaweza kuirudisha nyuma timu. Kuna baadhi ya wenzetu Akili matope kabisa
Mtu akiangalia avatar yako na unachokisema, ni wazi kuwa hamuwezi kuwa na mijadala ya hoja kwa hoja zaidi ya matusi tu.

Ikiwa umeamua kuwa chawa wa MO, unaweza kukuona baya lolote la Simba Sc?

By the way nilivyoona tu zile highlights za mechi ya kirafiki Kati ya Simba Sc na Rabat nikajua kabisa msimu huu utakuwa ni wa kusisimua sana.
 
Utakuwa haupo serious wewe,Manara ndiyo alikuwa anaandaa Simba Day? Kwamba alikuwa anatoa yeye pesa mfukoni kwake kiasi kwamba sasa hayupo na hawezi toa pesa tena za maandalizi?[emoji23][emoji23][emoji23]
wakati tunapigia mbuzi gitaa, kuna wenye uelewa mdogo wanajua Buga alikuwa mtu mkubwa sana Simba, wakati ni spika tu kupata sauti ya redio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…