Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Aliyetufitinisha amefaulu sana.Hamna Manara hamna Simba iliyochangamka
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyetufitinisha amefaulu sana.Hamna Manara hamna Simba iliyochangamka
Ni wazi kuwa zile amsha amsha za Manara wana msimbazi tutazimiss sanaaaaa,,
Ok, tunabaki kusubiri matokeo ya uwanjani.
Ila aliyeweza kufanikisha huyu bundi kutua msimbazi,,, alaaniwe sana.
Kusema kweli, bila Manara Simba tumepwaya.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
sikuwahi kufikiria kama JF inaweza kuwa na watu wanafikiria kwa kiwango kidogo namna hiyo. Eti msemaji wa timu anaweza kuirudisha nyuma timu. Kuna baadhi ya wenzetu Akili matope kabisaNyie ndio wale mlioijua Simba kupitia kwa Manara na mpo wengi mpira hamjui mnajua maneno tu.
Wengine Simba tunaipenda tangu zamani manara nimemjua akiwa anakera tu.
Kuna watu kama Julio hawa walikuwa na utani wa kweli hadi yanga walikuwa wanafurahi sio hii kuzifanya timu maadui
Mudi kasema mwaka huu hakuna Simba day,pesa ya Simba day itaelekezwa kusaidia jamii zenye uhitaji maalum, OVER!Habari wakuu,
Imezoeeleka miaka yote simba hufungua msimu na tukio babkubwa la simba day.
Mwaka huu sijasikia kitu kuhusiana na simba day, je simba day haipo mwaka huu?
Barbara
imeandikwa wapiTar 28/8 simba day. 29/8 yanga day
kuna tatizo mtu kujua na kuanza kuipenda simba kipindi cha manara?Nyie ndio wale mlioijua Simba kupitia kwa Manara na mpo wengi mpira hamjui mnajua maneno tu.
Wengine Simba tunaipenda tangu zamani manara nimemjua akiwa anakera tu.
Kuna watu kama Julio hawa walikuwa na utani wa kweli hadi yanga walikuwa wanafurahi sio hii kuzifanya timu maadui
imeandikwa wapi
Wewe nawe kila atachopost manara unakichukua kama kilivyo, yule muhuni anajua kuna vichwa vya kiviingiza chaka. Ilizoeleka wapi?watupe taarifa sasa maana ilizoeleka kila 8 August
Hapa naona pengo la wazi kabisa
Manara anajichukulia point 3
28/8Acha ujinga umeulizwa swali umejibiwa
28/8 Simba day yanga kesho yake official from Azam Tv
Mtu akiangalia avatar yako na unachokisema, ni wazi kuwa hamuwezi kuwa na mijadala ya hoja kwa hoja zaidi ya matusi tu.sikuwahi kufikiria kama JF inaweza kuwa na watu wanafikiria kwa kiwango kidogo namna hiyo. Eti msemaji wa timu anaweza kuirudisha nyuma timu. Kuna baadhi ya wenzetu Akili matope kabisa
wakati tunapigia mbuzi gitaa, kuna wenye uelewa mdogo wanajua Buga alikuwa mtu mkubwa sana Simba, wakati ni spika tu kupata sauti ya redioUtakuwa haupo serious wewe,Manara ndiyo alikuwa anaandaa Simba Day? Kwamba alikuwa anatoa yeye pesa mfukoni kwake kiasi kwamba sasa hayupo na hawezi toa pesa tena za maandalizi?[emoji23][emoji23][emoji23]