Je, mwamba wa Lusaka ( Chama) alikwenda kuomba maji kwa bahati mbaya au alikwenda Kama undercover kupeleleza vinywaji vya waarabu?

Mchina[emoji28]
Hio product ya mchina na mtu mweusi sijui itakuaje aisee.
[emoji23] wapo ila wanachekesha ukiwatazama,
Kule wilaya ya mkuranga kuna viwanda vingi vya wachina na wamezaa sana mademu wa kule hasa wafanyakazi wao wa viwandani.
Product nyingi zinakua na ngozi nyeusi ila macho na nywele ni za kichina.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Mtu mweusi anabaguliwa na kila mtu mwenye ngozi nyeupe sio mwarabu tuu.
Mtu mweusi anabaguana hata yeye kwa yeye. Usije ukashangaa wewe kwa Madelu au Marope ukaonekana kama takataka tu πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Mtu mweusi anabaguana hata yeye kwa yeye. Usije ukashangaa wewe kwa Madelu au Marope ukaonekana kama takataka tu πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
Hata rangi nyeupe nao wanabaguana tuu vilevile.

Interracial and Itraracial discriminations both exist.
 
Watachapika kwao pale Cairo
We subiri tu
 
Me nahic hata perce tau kashaona mengi anavumilia tu
Hawana ujanja kwa Tau ndani ya uwanja.

Ushahidi wa hili ni pindi mipira mingi mirefu walimpigia Tau lakini Tshabalala alijitahidi kukaa naye karibu. Hii linaonesha ni kwa jinsi gani wanamtegemea Tau ndani ya uwanja.

Wangekuwa hawamtaki Tau ndani ya uwanja wasingekuwa wanaonesha kumtegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…