Je, mwamba wa Lusaka ( Chama) alikwenda kuomba maji kwa bahati mbaya au alikwenda Kama undercover kupeleleza vinywaji vya waarabu?

waarabu ndivyo walivyoo wabaguzi sana. dp siwanakuja hao wafanyakazi wa bandarini hamna rangi wataacha kuona. wasiwe upande wa dp bora wawe chini TPA. maana wamepewa uchaguzi.
 
Kumbuka hapa ni JF akili kubwa. Watakaokusapot kwamba alienda ku-spay vinywaji vya waarabu ni mikia wenzio,ili kujaribu kufunika aibu ya huyo mchezaji wenu omba omba.
 
Kumbuka hapa ni JF akili kubwa. Watakaokusapot kwamba alienda ku-spay vinywaji vya waarabu ni mikia wenzio,ili kujaribu kufunika aibu ya huyo mchezaji wenu omba omba.
UNAJUA MPIRA KWELI NA ULISHAWAHI KUCHEZA HATA NGAZI YA KATA??

FIKIRI KABLA YA KULOPOKA.
 
Vitu vingine acheni tu vipite.....hajazingua ata sema watu kupenda kiki watasema kakosea Fair play ilitakiwa itumike sema hawa waarabu Wana imani zao.....
 
Sio kosa lako. Mlisha SEMA Yanga wenye akili ni wawili tu Kikwete na baba yake MANARA.
 
waarabu huwa wanaishiwa nguvu mapema sana, si ukute kwenye juisi waliweka vitia nguvu na waliogopa chama angegundua.
 
Wasio jua mpira wataita shobo. Ila kwa sisi Watu wa mpira inaitwa fair play, na sio maji tu hata madaktari wanaruhusiwa kutibu mchezaji wa timu pinzani.
Fair play au fair drinking?
 
Acha kukumbatia mambo ya aibu

Inawezekana kikawaida ni sawa ila cha muhimu ni wachezaji wajifunze kubalance shobo kwa timu pinzani

Waarabu wana roho mbaya na nimuhimu kwenda nao kwa tahadhari
Kuna mpirani kinaitwa fair unakifahamu
 
Yale maji ya Dua mkuu. Chama apewe muda wa Dua alikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…