chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
waarabu ndivyo walivyoo wabaguzi sana. dp siwanakuja hao wafanyakazi wa bandarini hamna rangi wataacha kuona. wasiwe upande wa dp bora wawe chini TPA. maana wamepewa uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hali ya kawaida hutegemei mtu akunyime maji kwa hiyo asingeweza kuwaza kuwa sitapewa majiKweli kabisa Mkuu siyo kitendo Cha kuvumilia wale mbwa
UNAJUA MPIRA KWELI NA ULISHAWAHI KUCHEZA HATA NGAZI YA KATA??Kumbuka hapa ni JF akili kubwa. Watakaokusapot kwamba alienda ku-spay vinywaji vya waarabu ni mikia wenzio,ili kujaribu kufunika aibu ya huyo mchezaji wenu omba omba.
Hapana unaujua wewe tu mkuu. Endelea kuchambua. Eheee...! Alivyoenda ku......ikawaje?UNAJUA MPIRA KWELI NA ULISHAWAHI KUCHEZA HATA NGAZI YA KATA??
FIKIRI KABLA YA KULOPOKA.
Vitu vingine acheni tu vipite.....hajazingua ata sema watu kupenda kiki watasema kakosea Fair play ilitakiwa itumike sema hawa waarabu Wana imani zao.....Akili ndogo wanamkejeli Chama kunyimwa maji/juice na waarabu (Al ahly) baada ya mchezo kusimama.
Hilo tukio lilitokea Chama kuwasogelea waarabu na kutaka kupata walau maji lakini ikawa tofauti kidogo baada ya wachezaji wa Al ahly kugoma kumpa/kumpotezea.
Akili kubwa Kama NALIA NGWENA imenifanya nifikiri kwa undani nakudhani kuwa Chama alitumwa/alikwenda Kama undercover kutest Radha ya kinywaji Kama siyo contained na madawa ya kuongeza nguvu.
Lakini kwa akili ya waarabu nao walilijua Hilo waliamua kumkwepa Chama na kujifanya hawamuoni kabisa Kama ingekua ni maji/kinywaji Cha kawaida wasingeoogopa wangempa bila wasi wasi wowote hivyo ndivyo wanavyofanya katika michezo mingi kwa wachezaji kushea maji ndani ya pichi ni jambo la kawaida tu.
Tukio Kama hili linatoa funzo kubwa sana katika timu zetu za Tanzania haswa Simba na Yanga Sc zinazoshiriki michuano ya kimataifa.
View attachment 2789119
ukiangalia wewe inatosha mkuu. shukraniNadhani unatakiwa uangalie kwa upeo mpana zaidi ya kile unachoona kama 'aibu'
waarabu huwa wanaishiwa nguvu mapema sana, si ukute kwenye juisi waliweka vitia nguvu na waliogopa chama angegundua.Akili ndogo wanamkejeli Chama kunyimwa maji/juice na waarabu (Al ahly) baada ya mchezo kusimama.
Hilo tukio lilitokea Chama kuwasogelea waarabu na kutaka kupata walau maji lakini ikawa tofauti kidogo baada ya wachezaji wa Al ahly kugoma kumpa/kumpotezea.
Akili kubwa Kama NALIA NGWENA imenifanya nifikiri kwa undani nakudhani kuwa Chama alitumwa/alikwenda Kama undercover kutest Radha ya kinywaji Kama siyo contained na madawa ya kuongeza nguvu.
Lakini kwa akili ya waarabu nao walilijua Hilo waliamua kumkwepa Chama na kujifanya hawamuoni kabisa Kama ingekua ni maji/kinywaji Cha kawaida wasingeoogopa wangempa bila wasi wasi wowote hivyo ndivyo wanavyofanya katika michezo mingi kwa wachezaji kushea maji ndani ya pichi ni jambo la kawaida tu.
Tukio Kama hili linatoa funzo kubwa sana katika timu zetu za Tanzania haswa Simba na Yanga Sc zinazoshiriki michuano ya kimataifa.
View attachment 2789119
Fair play au fair drinking?Wasio jua mpira wataita shobo. Ila kwa sisi Watu wa mpira inaitwa fair play, na sio maji tu hata madaktari wanaruhusiwa kutibu mchezaji wa timu pinzani.
Kuna mpirani kinaitwa fair unakifahamuAcha kukumbatia mambo ya aibu
Inawezekana kikawaida ni sawa ila cha muhimu ni wachezaji wajifunze kubalance shobo kwa timu pinzani
Waarabu wana roho mbaya na nimuhimu kwenda nao kwa tahadhari
Kinalazimishwa hicho kitu?Kuna mpirani kinaitwa fair unakifahamu
NA RAGE ALISEMAJE HEBU TUKUMBUSHE.Sio kosa lako. Mlisha SEMA Yanga wenye akili ni wawili tu Kikwete na baba yake MANARA.
[emoji16]Watani Watengenezeeni vijana alkasusu wanyama wanafedheheka!
Hata Mimi niliwaza hayo.waarabu huwa wanaishiwa nguvu mapema sana, si ukute kwenye juisi waliweka vitia nguvu na waliogopa chama angegundua.
Yale maji ya Dua mkuu. Chama apewe muda wa Dua alikuwepo?Akili ndogo wanamkejeli Chama kunyimwa maji/juice na waarabu (Al ahly) baada ya mchezo kusimama.
Hilo tukio lilitokea Chama kuwasogelea waarabu na kutaka kupata walau maji lakini ikawa tofauti kidogo baada ya wachezaji wa Al ahly kugoma kumpa/kumpotezea.
Akili kubwa Kama NALIA NGWENA imenifanya nifikiri kwa undani nakudhani kuwa Chama alitumwa/alikwenda Kama undercover kutest Radha ya kinywaji Kama siyo contained na madawa ya kuongeza nguvu.
Lakini kwa akili ya waarabu nao walilijua Hilo waliamua kumkwepa Chama na kujifanya hawamuoni kabisa Kama ingekua ni maji/kinywaji Cha kawaida wasingeoogopa wangempa bila wasi wasi wowote hivyo ndivyo wanavyofanya katika michezo mingi kwa wachezaji kushea maji ndani ya pichi ni jambo la kawaida tu.
Tukio Kama hili linatoa funzo kubwa sana katika timu zetu za Tanzania haswa Simba na Yanga Sc zinazoshiriki michuano ya kimataifa.
View attachment 2789119
NIMECHEKA KISENGE [emoji16]Yale maji ya Dua mkuu. Chama apewe muda wa Dua alikuwepo?