Je, mwamba wa Lusaka ( Chama) alikwenda kuomba maji kwa bahati mbaya au alikwenda Kama undercover kupeleleza vinywaji vya waarabu?

Vitu vingine acheni tu vipite.....hajazingua ata sema watu kupenda kiki watasema kakosea Fair play ilitakiwa itumike sema hawa waarabu Wana imani zao.....
Eti yeye ndio anaujua mpira walipanga wote na Chama kufanya ile aibu. Hivi dunia ya sasa ndio ya kulazimisha kuigeuza nyeusi iwe nyeupe?..
Ni kweli wangekutulia tu ipite. Kutumia nguvu kuwalazimisha watu waamini ulichoplan ghafla muelekeo uwe,ndio unajiunguza zaidi.

Wana bahati tu mashabiki wa YANGA hawana habari na mambo ya simba. Tofauti na ingekuwa kile kitendo angekifanya mchezaji wa YANGA,wangeleta mpaka vibonzo vya chama akibembeleza juice kwa waarabu
 
[emoji16]
 
Mna lalamika lakini kesho mnaenda kununua vitu kwenye biashara zao. Kama Kwa kauli Moja tunasema Hawa jamaa ni mavi tuanze kuwatenga kwenye uchumi Hata hapa uswazi.
Punguza chuki kijana utapata presha Bure. Mambo ya kususia biashara yanakujaje hapa.

Hilo unalolitaka haliwezekani. Watz hawako hivyo.

Kwani mmiliki wa timu SI anauza majuisi ya Kila aina, waende nazo uwanjani wawape wachezaji waache kuomba omba Kwa wapinzania wao.
 
Mambo mengine ni ya kutumia akili tu, watu wamekuja na kila kitu chao hawataki ku share unaendaje kuomba maji yao?
 
Manara yeye anachukulia kila kitu mzaha tu hlo tukio wangefanya simba media zote zingeponda ila kafanya mwarabu wanachekelea.
 
Kibaya zaidi tumepunguza matumizi ya maji ya ziwa Victoria ili Misri ipate maji ya kutosha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana naiombea Israel iendelee kushusha mvua ya missiles pale Gaza. Japo wote ni wabaguzi, ila Miarabu imezidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…